HATUKUPENDA TUWE HIVI -06

Author

[3/22, 15:15] Deo Young Masawe: HADITHI.
HATUJAPENDA TUWE HIVI .
SEHEMU YA SITA (6).
MTUNZI Deo Young Massawe
MAWASILIANO 0769297430.
                      sehemu ya sita (6).
  "Kwanza sianzi kukutaka  hizi korodani zako kwanza,nataka ziliwe na wadudu na uteseke kidogo" yule gaidi alieshika wembe kwa aliji ya kumhasi Farid alijisemea huku akirudisha mikono chini na kumgeukia mwenzake na kumuamuru kwa sauti
"hebu mlete yule mwanamke wa kusambaza kisonono" huyo gaidi alimuamrisha mwenzake kwa sauti ya juu ambapo Farid alisikia  na kumuona alietumwa kuleta mwanamke wa kusambaza kisonono akielekea msituni hapo Farid alirudisha kumbukumbu zake miaka kumi na tano iliyopita na kukumbuka mazungumzo aliyowahi kufanya na daktari huko mkoani Mbeya,
"daktari me naumwa katika uume  wangu kunatoka  usaha na ninawashwa kwambali" Farid alianza kukumbuka jinsi alivyomwambia daktari,
"unaumwa tokea lini ? na umekutana kimwili na mwanamke mara ya mwisho lini ?"daktari nae alimuuliza,
"nilikutana na mwanamke siku mbili ndo  nkaanza kuhisi  haya maumivu",
"ahaa basi itakua ni kisonono au kama  watu wanavoita gono umeambukizwa maana mwanaume huona dalili ndani ya siku mbili,hivyo basi unastahili kuanza dozi mara moja utapona usijali,ila pia napenda nkufahamishe kua mwanamke mwenye ugonjwa huo hua  haoni dalili mapema ila huwashwa sana sehemu zake za siri hasa katika njia ya uke ambapo hupenda sana kufanya ngono kwani ndio inakua njia ya kumkuna,hivyo basi mwanamke unaemtongoza siku moja na kukupa mapenzi basi jua  huyo anawashwa hivyo basi angalia kama ni mwanamke anaebanwa au ni wakujiuza  na kama sio mwanamke anaebanwa au anafanya biashara basi mwanamke kukupa mapenzi kwa haraka  sana kuna sababu zake mojawapo ni huo ugonjwa wa kisonono unamfanya  awashwe na kutaka kuingiziwa kitu cha kumkuna" daktari alimaliza na hapo Farid akakumbuka jinsi alivyomsalimia tu yule dada nae akajileta na hapo ndo akamwambukiza kisonono.
Farid alikua anakumbukia yote hayo ila ghafla alikatizwa kukumbuka kwa kumuona Mwanamke aliesimama  mbele yake, usoni alikua mzuri na alikua na kifua kilichoumbika na maziwa yaliyochongoka
"we dereva huyo mwanamke anataka umpe mambo" gaid mmoja aliongea kwa ukali, na hapo mwanamke kuskia a napata mambo kutoka kwa Farid alifurahi sana kwani yeye alikua mojawapo ya mateka ila yeye alikua na kazi ya kuambukiza watu kisonono ili wateseke tu,
Mwanamke alimsogelea Farid na kuanza kumshikashika ila Farid kwa kua alikua kafungwa kamba alitulia  tu.
"Mlalie kwanza umsafishe kwa mate yako na ulimi wako" gaidi mmoja alitamka huku akimwelekeza mwanamke namna ya kulala ili Farid aweze kumsafisha.
Farid hakuamini macho yake katika tukio ambalo angetakiwa kufanya kwani aliona wadudu wadogo wakitambaa katika sehemu za siri za mwanamke yule,
"mungu wangu sasa hapa nikigusa na mdogo tu huu ugonjwa utanishika mdomoni" Farid alijisemea kwani pia alikumbuka  daktari alimwambia jinsi ugonjwa huo wa kisonono hushika sehemu za midomo pale mtu  anapolamba nyeti za mtu mwenye ugonjwa huo,
"fanya  haraka mwanamke  huyo awe msafi nakupa dakika moja au nije na wembe nikate  huo ulimi,nyie mnapewa mchele mpeleke kwenye kambi za majeshi ya serekali ili wazid kupambana na sisi ?" huyo gaidi alitamka kwa ukali nae mwanamke tayar alishamsogezea Farid karibu kabisa ili aweze kusafishwa kwa ulimi na  kwakua Farid alikua kafungwa kamba basi hakua na jinsi alianza kusafisha wadudu ambao ndio bakteria wa ugonjwa wa kisonono nao walikua wamekua wakubwa sana kwa kukosa tiba,Farid alivumilia harufu kali  kwani kila alipojaribu kutoa kichwa kilichokua katikati ya mapaja ya mwanamke basi alitekenywa na kitako cha bunduki shingoni na hapo aliendelea kumsafisha mwanamke.
"haya sasa huo mdomo tayari ushaharibika sasa fanyeni mapenzi", gaidi aliongea kwa hasira na hapo Farid alikaa mkao wa kufanya mapenzi na hapo alifanya kwa shida kwakua alikua kafungwa kamba.
Baada ya nusu saa  Farid alikua katikati ya pori akiwa kazungukwa na mateka wengine,alisikitika kuona madereva wenzake aliofikiri wameaga dunia,
" kumbe kuna watu wengi walioko hai na sisi tunasema wamekufa?"Farid alijisemea moyoni.
                               *********
"Huyu Farid ananichezea akili yangu nini?" mama Miriam alijisemea baada ya kupiga simu ya Farid na kuikosa hewani kwa siku mbili,
"ila atakua ndo anarud na yupo sehemu isiyo na mtandao vizuri" mama Miriam aliendelea kijipa  matumaini kwani maisha yalizidi kua magumu zaidi kwani kazi ya kupika vyakula  ndo ilishasimama.
Miriam kila siku aliendelea kushangazwa na upendo wa mama mlezi wake kwani hajawahi kumuonesha upendo kiasi kile.
                            *******
Genes aliendelea kuumia  moyo kila siku kwani shuleni hakusoma kwa amani maana mawazo yote yalikua juu ya Miriam ila aliogopa sana kufika maeneo ya akina Miriam kwani aliogopa sana kuaibishwa tena,
"ila lazima wiki ijayo nitajikaza niende huko kwani wataniafanya nini mbona watu wanauawa kwa ajili ya mapenzi sasa mimi  kumwagiwa maji tu ndo nikate tamaa,mwanaume ni marufuku kukata tamaa" alijisemea Genes huku akifunga  daftari lake kwani alishindwa kuendelea kusoma na matokeo yake yalianza kua mabaya kadri  siku zilivyozidi kusonga mbele.
                                *******
Baada ya siku tatu Faridi alikua tayari ashaota vipele vya mfano wa mtu  aliyeungua kwa moto au  mafuta kwani vipele vilimwota mdomoni na Kwenye sehemu za siri na uume wake ulitoa usaha na aliwashwa sana ila kwakua alifungwa kamba mda wote basi hakua na jinsi hata kujikuna.
"mungu naomba unisaidie  kwani maumivu nayopata  ni heri kufa kuliko kuendelea kuishi pia nisamehe kwa mawazo ya kuenda kumharibia mtoto wawatu maisha kwani najua kabisa mimi ni mwathirika wa ukimwi ila naona wazo la  kuenda kumwambukiza mtoto mdogo ili ausambaze kwa watoto wenzake basi umeniadhibu kwa hilo" Farid alijisemea kimoyo moyo akijuta kwani lengo lake la kutaka kutembea na mtoto ni kusambaza ugonjwa wa ukimwi kwa mtoto akiamini  nae mtoto atausambaza kwa watoto wenzake na kisha atakufa  na wengi ila alikua akilia kwa uchungu kwa mawazo yake hayo.
Siku ya tano Farid alikua hafai kutazamwa mdomoni na maeneo ya karibu kwani alikua kaharibika sana ukiachilia mbali sehemu za siri hata muwasho wake ulimtesa sana alijihisi kama maiti inayotembea kwani alijua baada ya siku kadhaa uume wake utakatika kabisa.
"Mungu angu me ikifika kesho najiua" Farid alijisemea kwa hasira ya maumivu kwani hakutaka kuendelea kuteseka.
Kesho yake ilifika  nae alimtega gaidi aliekua anampa chakula kwa kumuwekea chini kama mbwa,
"yaani sasa chakula kinaletwa nashindwa kula sababu yenu hata cjui kosa langu kama ni ugomvi wenu na serikali msinihusishe mimi  ambae napelekea wananchi waliokosa chakula kwa ajili ya malumbano yenu" Farid alijisemea huku akisubiria anaemletea chakula kwani kwa mda huo Farid alikua kashafungua kamba za mkononi na alijipanga kumnyanganya gaidi bunduki na kumuua naye ajiue..

Itaendelea..

0 comments:

Post a Comment