HADITHI,
HATUJAPENDA TUWE HIVI,
SEHEMU YA TANO (5),
MTUNZI Deo Young Massawe
MAWASILIANO 0769297430
Sehemu ya tano (5).
'Mama yangu nini kimenifanya nikawahi huku kwenye kifo ? yaani kuwahi ili nirudi kulala na mtoto ndo kunanileta kwenye kifo ?" alijisemea dereva Farid wakati akishushwa kwenye gari huku akimshuhudia utingo wake akigeuza macho na kukata roho.
"Wewe kijana umebeba nini?" aliuliza gaidi mmoja alieonekana kuongea kiswahili kwa shida na kwa haraka Faridi alitambua ni mkongo,
"nimemebebaba mchechele nananapeleka Lululubumbashi", alijibu Faridi huku akitetemeka kama mtu aliemwagiwa maji yenye barafu meno yaligongana kama gitaa,
"haya lala chini kabla ya kukuua leta simu yako hapa" alizid kuamrisha yule gaidi huku wenzake wawili wakiwa makini na bunduki zao,
"msiniue jaman kama ni mchele chukueni tu" Farid aliongea kwa huruma,
"wewe lazima ufe,kwanza hebu onja hiyo damu ya mwenzako inayotiririka chini" gaidi aliongea kumuamrisha Farid aonje damu ya utingo wake na bila ubishi Farid alikinga damu kwa kiganja cha mkono na kuanza kunywa damu.
Gaidi mmoja kati ya wale watatu aliondoka na kutokomea msituni na baada ya dakika tatu basi alikuja na kundi la kinadada kama mia mbili na kila mmoja alikua kabeba ndoo tupu na wanaume walikua kama hamsini na wote walikua wamevaa mashuka na kwa Farid alivyowachungulia kwa pembeni aligundua ni watu waliotekwa kwani aliona magaidi wengine kama kumi waliokua wanalinda hilo kundi la watu.
"Jaman leo nakufa kweli,kumbe watu wanatekwa hivi" aliwaza Farid huku akikumbuka lile tukio lililotokea nchini Nigeria la kikundi cha boko haramu kuwateka watoto wakike mia mbili na kuwabebesha mimba wote,
"Hizi ndoo naona ni zakuchota huu mchele" alijisemea moyoni baada ya kuona lile kundi ya kinadada likijipanga kutoka kwenye gari kuelekea msituni na hapo ndo akagundua watatumia ule mfumo wa kupokezana,na wanaume wenye nguvu walikua wakibeba magunia mabegani kuelekeza msituni.
Mwili wa utingo uliendelea kuvuja damu iliyoelekea mahali alipolala Farid tena mbaya zaid kulichimbwa tuta dogo ambalo liliielekeza damu mdomoni mwa Farid na kuamrishwa kuilamba na kuimeza.
Wale mateka walifanya kazi ya kupokezana ndoo kwa haraka sana na hapo Farid kwa kuchungulia kwa jicho moja alishuhudia walioishiwa nguvu kwa kushindwa kupeleka ndoo kwa mwenzake kama mwanamke aliminywa na plaizi kwenye chuchu zake na kama mwanaume alieanguka na gunia basi plazi ilitumika kuminya korodani.
"Sasa kama hawa wanafanyiwa hivi mimi je nitafanywa nini?" alijisemea Farid baada ya kuona karibu wanamaliza kupakua.
*******
"yule Miriam mbona alionekana kunipeda na mbona hajanitafuta tena?" Genes alijisemea baada ya kuona mda unazid kuenda na Miriam hajamtafuta,
"au itakua alipigwa sana siku ile au ameogopa jinsi nilivyomwagiwa maji?" Genes alizid kujisemea,
"au niende tena kwake nini?Genes alijisemea tena huku ila akawa anatikisa kichwa kutoka kushoto kwenda kulia kwa kukumbuka kile kipigo cha maji machafu na kofi alilopigwa na mama Miriam,
"apana sitoenda huko ngoja nisubirie tu atanitafuta" Genes alijisemea.
**********
Miriam aliendelea kushangaa kwa upendo anaoneshwa na mama aliekua akimtesa kipindi cha nyuma,
"hivi Miriam wewe unataka kuja kuolewa na nani" Mama yake mlezi alimuuliza huku akionesha uso wa furaha,
"mimi nitakuja kuolewa na mkaka mmoja mzuri sana tena hata wewe unamfahamu" Miriam alijibu kwa furaha kwani hakumuogopa tena mama yake mlezi,
"haa Mirian mbona me simjui huyo mwanaume?" Mama alijibu kwa mshangao ingawa alimhisi ni yule kijana aliamwagia maji siku moja,
"haa mama siyule siku moja ulimkuta nikiwa nae pale kijiweni ?" Miriam alijibu kwa furaha ila alishangaa mama kununa kwa mbali,
"ahaa sawa mwanangu lakini huyo mbona kama hakufai ? kwanza hana pesa wala hana gari wala nyumba" Mama Miriam aliongea kama vile anampa Miriam ushauri,
"mama yaani mimi sitaki mwanaume mwenye gari wala pikipiki me nahitaji mwanaume mwenye upendo wa kweli tu basi gari tutanunua wote na hata nyumba tutajenga wote" Miriam aliongea kwa kujiamini ingawa hakujua kama Genes yupo katika mazingira gani kwa mda huo.
"sawa mwanangu uwe na upendo huo" mama aliongea kwa haraka huku moyoni akiwaza "wewe hujui mipango yangu, huyo mwanaume unaewaza hana lake hapo mwanaume ni Faridi tu alete pesa hapa" mama alijisemea moyoni.
*********
Baada ya masaa matatu tayari mchele ulishapakuliwa wote na hapo Farid alianza kusali na kuomba mungu aweze kuachwa hai,jambo ambalo lingekua vigumu kufanyika kwani wengi wa madereva walioingia kwenye mikono ya magaidi wa msitu huo basi huuwawa kinyama.
"sasa huyu dereva tumfanye nini?"aliongea gaidi mmoja
"huyu situmuue?" mwenzake alijibu na tayari akaandaa bunduki yake,
"hapana tusimuue kwanza tumtese kidogo kwanza" gaidi mwingine alitoa wazo lake
Baada ya wote kuafiki kua wamtese hapo walimvua nguo zote na kumfunga kamba miguu na mikono.
Gaidi mmoja alichukua wembe na kukata masikio yan utingo na kumlisha dereva,baada ya masikio basi utingo alikatwa sehemu zake za siri na Farid alilazimishwa kutafuna na kumeza.
Viungo vidogo vidogo vya utingo viliisha na hapo gaidi mmoja ambae alishawahi kupigwa risasi ambayo ilimafanya apoteze uwezo wa kumtungisha mwanamke mimba basi alikua na hasira na hakufurahi kuona mwanaume mwenye korodani hivyo alichukua wembe na kumfuata dereva Farid ili nae amhasi kwa kumtoa korodani zake.Farid alipoona gaidi anamjia kwa na wembe basi alianza kulia kwa uchungu kwani alihisi atakatwa masikio.
*****
"Kwanza sianzi kukutaka hizi korodani zako kwanza,nataka ziliwe na wadudu na uteseke kidogo" yule gaidi alieshika wembe kwa aliji ya kumhasi Farid alijisemea huku akirudisha mikono chini na kumgeukia mwenzake na kumuamuru kwa sauti
"hebu mlete yule mwanamke wa kusambaza kisonono" huyo gaidi alimuamrisha mwenzake kwa sauti ya juu ambapo Farid alisikia na kumuona alietumwa kuleta mwanamke wa kusambaza kisonono akielekea msituni hapo Farid alirudisha kumbukumbu zake miaka kumi na tano iliyopita na kukumbuka mazungumzo aliyowahi kufanya na daktari huko mkoani Mbeya,
"daktari me naumwa katika uume wangu kunatoka usaha na ninawashwa kwambali" Farid alianza kukumbuka jinsi alivyomwambia daktari,
"unaumwa tokea lini ? na umekutana kimwili na mwanamke mara ya mwisho lini ?"daktari nae alimuuliza,
"nilikutana na mwanamke siku mbili ndo nkaanza kuhisi haya maumivu",
"ahaa basi itakua ni kisonono au kama watu wanavoita gono umeambukizwa maana mwanaume huona dalili ndani ya siku mbili,hivyo basi unastahili kuanza dozi mara moja utapona usijali,ila pia napenda nkufahamishe kua mwanamke mwenye ugonjwa huo hua haoni dalili mapema ila huwashwa sana sehemu zake za siri hasa katika njia ya uke ambapo hupenda sana kufanya ngono kwani ndio inakua njia ya kumkuna,hivyo basi mwanamke unaemtongoza siku moja na kukupa mapenzi basi jua huyo anawashwa hivyo basi angalia kama ni mwanamke anaebanwa au ni wakujiuza na kama sio mwanamke anaebanwa au anafanya biashara basi mwanamke kukupa mapenzi kwa haraka sana kuna sababu zake mojawapo ni huo ugonjwa wa kisonono unamfanya awashwe na kutaka kuingiziwa kitu cha kumkuna" daktari alimaliza na hapo Farid akakumbuka jinsi alivyomsalimia tu yule dada nae akajileta na hapo ndo akamwambukiza kisonono.
Farid alikua anakumbukia yote hayo ila ghafla alikatizwa kukumbuka kwa kumuona Mwanamke aliesimama mbele yake, usoni alikua mzuri na alikua na kifua kilichoumbika na maziwa yaliyochongoka
"we dereva huyo mwanamke anataka umpe mambo" gaid mmoja aliongea kwa ukali, na hapo mwanamke kuskia a napata mambo kutoka kwa Farid alifurahi sana kwani yeye alikua mojawapo ya mateka ila yeye alikua na kazi ya kuambukiza watu kisonono ili wateseke tu,
Mwanamke alimsogelea Farid na kuanza kumshikashika ila Farid kwa kua alikua kafungwa kamba alitulia tu.
"Mlalie kwanza umsafishe kwa mate yako na ulimi wako" gaidi mmoja alitamka huku akimwelekeza mwanamke namna ya kulala ili Farid aweze kumsafisha.
Farid hakuamini macho yake katika tukio ambalo angetakiwa kufanya kwani aliona wadudu wadogo wakitambaa katika sehemu za siri za mwanamke yule,
"mungu wangu sasa hapa nikigusa na mdogo tu huu ugonjwa utanishika mdomoni" Farid alijisemea kwani pia alikumbuka daktari alimwambia jinsi ugonjwa huo wa kisonono hushika sehemu za midomo pale mtu anapolamba nyeti za mtu mwenye ugonjwa huo,
"fanya haraka mwanamke huyo awe msafi nakupa dakika moja au nije na wembe nikate huo ulimi,nyie mnapewa mchele mpeleke kwenye kambi za majeshi ya serekali ili wazid kupambana na sisi ?" huyo gaidi alitamka kwa ukali nae mwanamke tayar alishamsogezea Farid karibu kabisa ili aweze kusafishwa kwa ulimi na kwakua Farid alikua kafungwa kamba basi hakua na jinsi alianza kusafisha wadudu ambao ndio bakteria wa ugonjwa wa kisonono nao walikua wamekua wakubwa sana kwa kukosa tiba,Farid alivumilia harufu kali kwani kila alipojaribu kutoa kichwa kilichokua katikati ya mapaja ya mwanamke basi alitekenywa na kitako cha bunduki shingoni na hapo aliendelea kumsafisha mwanamke.
"haya sasa huo mdomo tayari ushaharibika sasa fanyeni mapenzi", gaidi aliongea kwa hasira na hapo Farid alikaa mkao wa kufanya mapenzi na hapo alifanya kwa shida kwakua alikua kafungwa kamba.
Baada ya nusu saa Farid alikua katikati ya pori akiwa kazungukwa na mateka wengine,alisikitika kuona madereva wenzake aliofikiri wameaga dunia,
" kumbe kuna watu wengi walioko hai na sisi tunasema wamekufa?"Farid alijisemea moyoni.
*********
"Huyu Farid ananichezea akili yangu nini?" mama Miriam alijisemea baada ya kupiga simu ya Farid na kuikosa hewani kwa siku mbili,
"ila atakua ndo anarud na yupo sehemu isiyo na mtandao vizuri" mama Miriam aliendelea kijipa matumaini kwani maisha yalizidi kua magumu zaidi kwani kazi ya kupika vyakula ndo ilishasimama.
Miriam kila siku aliendelea kushangazwa na upendo wa mama mlezi wake kwani hajawahi kumuonesha upendo kiasi kile.
*******
Genes aliendelea kuumia moyo kila siku kwani shuleni hakusoma kwa amani maana mawazo yote yalikua juu ya Miriam ila aliogopa sana kufika maeneo ya akina Miriam kwani aliogopa sana kuaibishwa tena,
"ila lazima wiki ijayo nitajikaza niende huko kwani wataniafanya nini mbona watu wanauawa kwa ajili ya mapenzi sasa mimi kumwagiwa maji tu ndo nikate tamaa,mwanaume ni marufuku kukata tamaa" alijisemea Genes huku akifunga daftari lake kwani alishindwa kuendelea kusoma na matokeo yake yalianza kua mabaya kadri siku zilivyozidi kusonga mbele.
*******
Baada ya siku tatu Faridi alikua tayari ashaota vipele vya mfano wa mtu aliyeungua kwa moto au mafuta kwani vipele vilimwota mdomoni na Kwenye sehemu za siri na uume wake ulitoa usaha na aliwashwa sana ila kwakua alifungwa kamba mda wote basi hakua na jinsi hata kujikuna.
"mungu naomba unisaidie kwani maumivu nayopata ni heri kufa kuliko kuendelea kuishi pia nisamehe kwa mawazo ya kuenda kumharibia mtoto wawatu maisha kwani najua kabisa mimi ni mwathirika wa ukimwi ila naona wazo la kuenda kumwambukiza mtoto mdogo ili ausambaze kwa watoto wenzake basi umeniadhibu kwa hilo" Farid alijisemea kimoyo moyo akijuta kwani lengo lake la kutaka kutembea na mtoto ni kusambaza ugonjwa wa ukimwi kwa mtoto akiamini nae mtoto atausambaza kwa watoto wenzake na kisha atakufa na wengi ila alikua akilia kwa uchungu kwa mawazo yake hayo.
Siku ya tano Farid alikua hafai kutazamwa mdomoni na maeneo ya karibu kwani alikua kaharibika sana ukiachilia mbali sehemu za siri hata muwasho wake ulimtesa sana alijihisi kama maiti inayotembea kwani alijua baada ya siku kadhaa uume wake utakatika kabisa.
"Mungu angu me ikifika kesho najiua" Farid alijisemea kwa hasira ya maumivu kwani hakutaka kuendelea kuteseka.
Kesho yake ilifika nae alimtega gaidi aliekua anampa chakula kwa kumuwekea chini kama mbwa,
"yaani sasa chakula kinaletwa nashindwa kula sababu yenu hata cjui kosa langu kama ni ugomvi wenu na serikali msinihusishe mimi ambae napelekea wananchi waliokosa chakula kwa ajili ya malumbano yenu" Farid alijisemea huku akisubiria anaemletea chakula kwani kwa mda huo Farid alikua kashafungua kamba za mkononi na alijipanga kumnyanganya gaidi bunduki na kumuua naye ajiue..
Itaendelea..
0 comments:
Post a Comment