MARAFIKI CLUB-27

Author
Marafiki club-27
by Sparner Boy 0765148781
ilipoishia..
"Huuusnaaa!!"
Roy alipaza sauti iliyomshtua mama mchungaji
Endelea..
"umechanganyikiwa huyo Husna ni nani"
"hapana,sijasema kitu mimi simjui Husna"
Roy aliongea kama mtu aliechanganyikiwa mama mchungaji akawa anatikisa kichwa kumsikitikia.Roy alimpa mama mchungaji mkono ishara ya kumuaga lakini mama yule alikataa,alishaanza kumuogopa Roy kwa kiasi flani na kichwani aliwaza kuwa akimpa mkono atajikuta anamvulia chupi mwenyewe.Roy aliondoka akamuacha mama mchungaji akiwa kwenye dimbwi la mawazo kuhusu mimba ile.Aliwaza sana mwisho akapata jibu.
"mchungaji ananiamini sana nitamwambia ni mimba yake,ee Mungu nisamehe"
Aliwaza hayo mama mchungaji huku amejishika tama kiukweli alikuwa anajuta sana kwa kitendo alichokifanya na Roy,hakujua Roy alimfanyaje mpaka akampa utamu mwenyewe kirahiisi.
* * *
Roy alifika nyumbani akakuta geti lipo wazi,aliingia haraka lengo lake akamzuie Naomy asimwambie Mariam kitu chochote na alifurah kwani mlango ulikuwa umefungwa kitendo kilichomaanisha kuwa hakukuwa na mtu pale nyumbani.Aliangalia mahali wanapowekaga funguo kwa bahati nzuri akazipata lakini kabla hajafungua mlango getini kuna mtu alikuwa anagonga,Aliacha funguo pale mlangoni akaenda getini ambapo alipofungua geti alikutana na sura ya Naomy.
"aah karibu mpenzi"
"si umesema haupo nyumbani wewe?"
"aah.ndio nimerudi karibu"
waliingia ndani na baada ya kukaa Roy alianza kumponza Naomy kwa maneno matamu ili asahau kabisa habari za kumueleza Mariam kinachoendelea kati yao.Alimsogelea pale alipokuwa amekaa akamkumbatia na kuanza kumwambia maneno matamu huku anamshika shika sehemu mbali mbali za mwili wake.
"mimi nitakuoa lakini subiri mimi dada Mariam nitamweleza mwenyewe Naomy wewe ndio maisha yangu"
"aah,,baas Roy unanisisimua unaponigusa uko buana ach..aa"
Alizungumza hayo Naomy baada ya Roy kuupeleka mkono wake mpaka kwenye Skin Tyte ya Naomy akawa anapapasa utamu uliokuwa umefichwa na skin tyte,Roy hakujali maneno ya Naomy aliendelea na zoezi lile huku anaibusu busu shingo ya binti yule kwa ustadi wa hali ya juu.Naomy alimkumbatia Roy huku anatanua miguu yake taratibu kuipa nafasi mkono wa Roy iliyokuwa bado inapapasa tyte ya Naomy usawa wa kwenye tamuu.
"aah..Roy jaman..Roy jaman rahaa..yess..ta
ratibu..aashsh"
Aliongea maneno hayo Naomy huku anatetemeka midomo inaonekana alikuwa na mzuka sana siku hiyo.Roy alianza kunyonya lips za Naomy huku anamvua skin tyte taratibu na baada ya hapo akamvua na t shirt hivyo Naomy akabaki na sketi tu uku matiti yake yakiwa nje yamesimama kama maembe sindano au bolibo.Roy alianza kulamba chuchu zile kwa zamu akitumia ulimi wake,aliyalamba sehem za nipoz bila kuweka titi mdomoni wakati huo Naomy akawa anashusha suruali ya Roy ambapo alikutana na tarimbo ikiwa imesimama kama mlingoti wa bendera ya taifa,aliipapasa kidogo kisha akalala sofani akisema
"baby nipe,,ingiza,,naomba ingiza Roy naumia,,ooh,,aah"
Roy wakati anaendelea kulamba na kunyonya matiti ya Naomy Taratibu alipandisha sketi ya binti yule juu kisha akaegesha mtarimbo wake kwenye utamu na akaanza kuingiza taratibu wakati huo Naomy yupo hoi amefumba macho huku anapanua mdomo wake kama mtu anaetaka kupiga miayo.Tarimbo ilipoingia yote Naomy alishtuka kidogo inaonekana kuna kitu Roy aligusa humo ndani.Taratibu dozi ilianza pale pale sofani,Roy alishika kiuno cha Naomy kisha akapiga magoti akaanza kutoa dozi ya uhakika huku anaangalia tarimbo yake inavyoingia na kutoka kwenye utamu wa binti yule wa kilokole.dakika tano ni nyingi Roy alianza kusikia raha kwamba wazungu wapo karibu.Aliongeza spidi kisha akatulia na kuegemeza kichwa chake kwenye kifua cha Naomy.
"baby noo,bado nataka please"
alilalamika Naomy huku anampapasa Roy mgongoni.Roy alim'busu Naomy shavuni kisha akam'beba juu juu mpaka kitandani na uko shughuli ikaenda kuanza upya.
Naomy alisahau kabisa kuwa alienda pale kwa nia ya kumueleza Mariam kinachoendelea kati yake na Roy akiamini kuwa Mariam ni dada yake na Roy.Wakiwa chumbani wamejipumzisha baada ya kupekenyuana sana,walisikia mlango unagongwa.
"Mungu wangu,atakuwa ni Mariam"
"sasa unamuogopa kwani atakuja chumbani kwako?"
"chumba chake hiki,sasa naomba ingia chini ya kitanda please"aliongea Roy haraka akaenda sebulen na kuchukua tyte na tshirt ya Naomy na haraka Naomy alivaa na kuingia chini ya kitanda.
"ooh Roy mpenzi wangu i miss you,twende chumbani kwanza"
aliongea hayo Mariam akiwa amemshika Roy mkono na mkono mwingine ameshika hotpot.
"baby nimekuletea chakula mimi leo sipiki wewe kula alafu unipe mambo leo nina hamu kweli na wewe"
Maneno yale Naomy aliyasikia mle chini ya kitanda ambapo alipata na mshtuko wa ajabu.
Ina maana Roy anatembea na dada yake,Mungu wangu nimeisha mwanaume gani huyu ee Mungu"
Aliwaza hayo Naomy huku machozi yakimtoka kwani aliamini siku zote kuwa Roy na Mariam ni mtu na dada yake na mpaka wakati ule ata Roy hakuwa anafaham kwa nini Mariam aliamua kuwaambia watu kuwa wao ni ndugu..
itaendelea.

posted from Bloggeroid

0 comments:

Post a Comment