MARAFIKI CLUB -24

Author
Marafiki Club-24
by Sparner Boy 0765148781
ilipoishia
aliwaza hayo mama mchungaji wakati huo
amejilaza kitandani kwake huku anajishika
shika kule maeneo inaonekana siku hiyo
alikuwa na hamu sana ya kucheza ule mchezo
wa kikubwa
endelea
Baada ya kuwaza sana aliona bora tu alale
amsubiri mume wake lakini kila alipojaribu
kulala hakupata usingizi mwisho uvumilivu
ulimshinda.Aliinuka pale kitandani akajifunga
taulo taratibu akaelekea kwenye mlango wa Roy
ambapo alipojaribu kuusukuma ulikuwa
umefungwa kwa ndani.Alirudi chumbani kwake
akampigia Roy na kumwambia kuwa kuna tatizo
limetokea
"tatizo gani mama mchungaji"
"fungua mlango nikuambie kama utaweza
kunisaidia"
Baada ya ma mchungaji kukata simu Roy
alifungua mlango akauegesha na baada ya
muda mfupi mama mchungaji aliingia akiwa
amejifunga Taulo huku sehemu kubwa ya paja
lake la kulia mpaka karibia na kule kwenye
maanjumati ikiwa wazi.Alipita akakaa kitandani
wakati huo Roy amesimama akionekana
kupigwa na butwaa kutokana na hali aliyokuja
nayo mama mchungaji,baada ya mama yule
kukaa alisema
"tulishafanya ata tukisema tusifanye ni bure tu
kwa sababu hakuna dhambi kubwa na ndogo"
"lakini mama mchungaji si unajua.."
"shshs...nyamaza Roy usiongee chochote em
njoo"
aliongea hayo mama mchungaji na kumvuta
Roy kitandani, taratibu wakaanza kupeana
mabusu moto moto huku mama mchungaji
anaivua boxer ya Roy na ndani ya muda mfupi
walianza kupeana raha usiku ule wa
manane.Naomy alishtuka kutoka usingizini
ambapo alikuwa amebanwa sana na
mkojo.Aliamka akatoka mpaka kwenye korido
tayari kuwasha taa ya kwenye korido ili aelekee
chooni lakini kabla hajafanya hivyo alisikia
visauti sauti kwenye chumba cha Roy,aliacha
kuwasha taa ile akasogea taratibu akipapasa
ukuta mpaka mlangoni na aliposikiliza kwa
makini alisikia sauti na miguno ya kimahaba
"hapoo,,naomba nenda
taratibu..yees,,yess..aaah,,ass..sante ooh.ingiza
yotee,,tenaa..ooh tenaa"
Naomi alisikiliza minong'ono ile kwa makini
lakini hakugundua ile ni sauti ya nani hasa kwa
sababu ilikuwa inaongea kwa kunongona
ikionekana kunogewa na mapenzi.Naomy
alishika kifua chake kwa mshtuko kwani alihisi
huenda Roy yupo na mama mchungaji kwa
sababu kwenye nyumba ile wapo wanawake
wawili tu yaani yeye na mama
mchungaji,aling'ata kidole chake cha mkono
akawaza
"pengine ni mashetani ya hii nyumba ndio
yameanza,lakini hapana ngoja nihakikishe"
aliwaza Naomy na kuelekea kwenye chumba
cha mama mchungaji ambapo alipanga
akimkuta mama mchungaji chumbani kwake
atamwambia kinachoendelea kwenye chumba
cha Roy.Alisukuma mlango wa mama
mchungaji ambapo alikutana na kitanda kikiwa
kitupu hakina mtu.Aliegemea ukuta taratibu
akashuka na kukaa sakafuni kwani ata nguvu ya
kusimama hakuwa nayo kwa wakati ule.
"Mungu wangu,Roy amelala na ma mchungaji?"
alijiuliza swali lile akiwa pale chini na baada ya
muda aliinuka na kurudi chumbani kwake huku
machozi yanamtoka na haja ndogo iliyokuwa
imem'bana hakuwa anaisikia tena yani ilirudi
gafla.
Kesho yake asubuhi Naomy aliamka akiwa na
hasira sana,alifanya usafi akatenga chai mezani
kisha akawa anataka kuondoka wakati huo ma
mchungaji bado amelala.Roy aligundua hali ya
Naomy hivyo alimfuata na kumuuliza
"kwa nini unaondoka bila kumuaga ma
mchungaji"
"muage wewe ndio anakusaidiaga mi sina shida
nae"
"una maanisha nini?"
"hivyo hivyo ulivyoelewa"
alijibu Naomy na kuondoka kwa hasira huku
anafuta machozi yaliyokuwa yanatiririka
kwenye machavu yake yakitokea machoni.
"Naomy nisubiri twende wote basi"
"uende na mimi wapi nenda na mama
mchungaji"
Roy alishtuka sana baada ya kusikia kauli ile
kutoka kwa Naomy.
***
Jumapili iliyofuata baada ya ibada Roy alikaa na
Naomy ambapo Naomy alimweleza kila kitu
alichokishughudia,Roy alikubali kuwa ni kweli
amefanya mapenzi na mama mchungaji lakini
hakupenda hivyo akam'bembeleza sana Naomy
asitoboe siri ile kwa mtu yoyote.
"aah,,mi nimeokoka lazima niseme"
"hapana Naomy wangu usiseme nitakupa
chochote utakachotaka please"
"unanipenda"
"saana Naomi yani naku.."
"nataka univalishe pete unioe hapo ndio
nitakusamehe na sintatoa siri hii itakuwa yangu
mimi na wewe"
Roy alinyamaza kimya na wakati anafikiria cha
kumjibu Naomi,Ester alikuja na kumwita Roy
kuwa ana maongezi na yeye.Roy alimwacha
Naomy akimwambia kuwa anarudi yeye akatoka
pembeni tayari kumsikiliza Ester anachotaka
kumwambia,swali la kwanza baada ya kutoka
pembeni Ester alimuuliza Roy
"Naomy ni nani kwako"
"rafiki tu wa kawaida"
"ok,Roy jana nimeenda hosptali hali yangu
haikuwa nzuri,baada ya kupima nimekuta nina
mimba ya wiki 7 huwezi amini apa
nimechanganyikiwa"
"waat,lakini usihofu nitakupa pesa ukatoe"
"unasema..sipo tayari kutoa mimba ni dhambi
kubwa sana.hapo hapana"
"tulivyofanya mapenzi ni dhambi pia,nashangaa
unaongelea ya kutoa mimba tu Ester"
"ata kama Roy, mimi naenda kumwambia
mama mchungaji ukweli ikiwezekana ndoa
itangazwe haraka kabla mimba haijaanza
kuonekana mimi mimba sitoi"
aliongea hayo Ester na kuondoka kwa hasira
akawa anaelekea kanisani ambapo mama
mchungaji alikuwepo pamoja na baadhi ya
wazee wa kanisa..
itaendelea

posted from Bloggeroid

1 comments:

  1. Enter your comment...Hongera sana kwa hadith nzur

    ReplyDelete