Did you aloe today?
Aloe vera gel ni kinywaji cha asili ambacho kimetengenezwa na mmea wa Aloe vera kina virutubisho vyote ambavyo mwili unahitaji. Ni kinywaji kizuri kutumiwa kila siku.
Umuhimu wa kutumia Aloe Vera gel
*Husaidia kuondoa sum mwilini, ambazo tunapata kwenye vyakula, vinywaji kama juice za box(artificial juice, moshi wa magari/sigara, pombe (alcohol) n.k.
*Kusaidia watu wasio pata choo(constipation)
*Kusaidia macho kuona vizuri.
*Kuongeza kinga ya mwili.
*Kusaidia mmengenyo wa chakula kufanya kazi vizuri.
*Husaidia kuondoa Mafuta sehem mbalimbali mwilini.
*Husaidia kuboresha kiwango cha pressure na sukari mwilini.
*Kuupa mwili nguvu na kuondoa hali ya uchovu wa mara kwa mara.
Utaletewa ulipo.
Kwa mawasiliano namba +255754351381/0657351381
#aloeveragel #powerofdetoxification
#cleanseyourcolon #
0 comments:
Post a Comment