wakati huo huo Young Killer ametangaza kuaharisha kuachia video ya wimbo wake ’13’ aliomshirikisha Fid Q kufuatia msiba wa rapper Geez Mabovu uliotokea jana usiku. Video hiyo ilikuwa iachie Alhamis hii. Kupitia Instagram, Killer amesema video hiyo sasa itaachiwa Ijumaa ijayo. Kuna taarifa kuwa Geez anaweza kuzikwa leo kwao mjini Iringa.
Weusi wahairisha show
10:36:00
No comments
Weusi wamethibitisha kuwa wameahirisha show yao ya Funga
Mwaka iliyokuwa ifanyike jijini Mbeya Ijumaa hii kufuatia kifo cha
rapper Geez Mabovu kilichotokea Jumatano jioni. Joh Makini amesema Geez
alikuwa kama mtu wa familia yao. “Kusema na ukweli hatutaweza kufanya
show ya Mbeya,” Joh Makini amesema kwa huzuni. “Ni kwasababu
Geez ni mshikajiwetu, he is the part of the family, for the love of HIP HOP and respect hatuwezi fanya" Joh ameshirikishwa na Geez kwenye nyimbo zake tatu.
wakati huo huo Young Killer ametangaza kuaharisha kuachia video ya wimbo wake ’13’ aliomshirikisha Fid Q kufuatia msiba wa rapper Geez Mabovu uliotokea jana usiku. Video hiyo ilikuwa iachie Alhamis hii. Kupitia Instagram, Killer amesema video hiyo sasa itaachiwa Ijumaa ijayo. Kuna taarifa kuwa Geez anaweza kuzikwa leo kwao mjini Iringa.
wakati huo huo Young Killer ametangaza kuaharisha kuachia video ya wimbo wake ’13’ aliomshirikisha Fid Q kufuatia msiba wa rapper Geez Mabovu uliotokea jana usiku. Video hiyo ilikuwa iachie Alhamis hii. Kupitia Instagram, Killer amesema video hiyo sasa itaachiwa Ijumaa ijayo. Kuna taarifa kuwa Geez anaweza kuzikwa leo kwao mjini Iringa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment