Mara ya mwisho wakali hawa kukutana ilikuwa mwaka 2011 ambapo kila mmoja aliweza funga goli la kini goli la Messi ndilo lilikuwa la muhimu kwani liliweza kuipatia ushindi timu yake mbele ya mpinzani wake Ronaldo.
wakiwa manahodha wa timu zao za taifa wanaenda kukutana kukiwa na tetesi kuwa Ronaldo huwa anamnyanyapaa mwezake kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ya klabu ake kila wanapo mzungumzia Messi.
Messi ataonyesha hisia gani pale watakapo kuwa wanasalimiana kwani hawajawahi kutana tangu tetesi hizo zivume.
kikosi kinachowezaanza Ureno: Patricio; Bosingwa, Carvalho, Pepe, Guerreiro; Tiago, Danny, Moutinho, Nani; Ronaldo, Eder
kikosi kinachowezaanza Argentina: Caballero; Zabaleta, Otamendi, Demichelis, Ansaldi; Mascherano, Perez; Di Maria, Messi, Aguero; Tevez.
Kikosi cha Argentina kinapewa nafasi kubwa ya kuibuka mshindi kutokana aina ya wachezaji waliopo katika kikosi chao






0 comments:
Post a Comment