HATUKUPENDA TUWE HIVI-31

Author

Miriam alimshukuru mungu kwa mema anayomjalia kikubwa alishukuru sana kwa kuona kipenzi cha moyo wake Genes anaanza kuelekea kumkubalia.Alizichukua namba zake na kumpigia,waliongea sana naGenes alimpa ahadi ya mapenzi ya dhati,licha ya kumaliza maongezi waliendelea kutumiana ujumbe mfupi,kwani tayari Miriam alishaanza kujua kusoma na kuandika.Maisha yalizidi kusonga mbele huku Angel akiona dalili za Genes kutovutiwa naye kama alivyozoea,"mbona hata hanipigii tena simu usiku kama ilivyo kawaida yake?" Angel alijiuliza,ila hali hiyo ilitokanana Miriam kukaa kichwani kwa Genes mda mrefu."Au kwa sababu sijawahi kumpa penzi langu" Angel alijiulizalabda kutompa Genes penzi ndio kunamfanya akae kimya mara kwa mara,"jumapili ijayo nitampa mapenzi kisha nimuangalie kama atanipenda kama zamani" Angel alijisemea na ilikua siku yaijumaa.Miriam naye alizidi kupambana na mifugo yake aliyonunua kwa pesa ya mchango,na kikundi kilianza kwa mfumo wa kila mfanyakazi kukatwa mshahara kidogo kidogo na kuuwekeza katika pesa walizokua wanakopesha watu pamoja na kununua mifugo. Wazo hilo la Miriam liliwafanya wafanyakazi wenzake wazidi kumpenda,kwani walianza kuona matunda yake.Furaha ya Miriam ilizidi kuongezeka siku baada ya sikukwa kuona Genes amekubali kua wake.Genes alianza kufanya vibaya darasani,aliporomoka kutoka nafasi ya kwanza hadi ya thelathini.Siku ya jumapili asubuhi Angel alipiga simu ya Genes ila haikupokelewa kwa marambili lakini hakukata tamaa hapo alipiga tenamaraya tatu,"huyu anatakaje?" Genes alisema baada ya kuona Angel anamsumbua,lakini aliinua simu na kuipokea,"mbona hupokei simu yangu jamani?""nilikua bafuni,unasemaje?""jamani ungeniambia ningekuja kukuogesha""usijali" "sawanambie unaoga,unataka kutoka asubuhi hii?""ndio natoka kidogo"
"unaenda wapi maana nataka nikuone leo, au uje kwetu mama na baba hawapo nipo mwenyewe nyumbani""sawa nitakuja basi mida ya saanne".Yalikua mazungumzo ya Angel na Genes kwa njia ya simu.Angel hakumuambia Genes kitu kinachotakiwa kuja kufanyika maana alitaka kumshutukiza.Genes alitoka na kuanza safari ya kuelekea kwa Angel, kutokana na ujirani waliokua nao basi haikuchukua mda mrefu kufika nyumbani kwa Angel,"alafu usikute mama yupo atukute huku chumbani" Genes alimnong'oneza Angel huku wakiwa wamekaa kitandani.Angel aliongeza sauti ya radio iliyoimba nyimbo yaZ Anthony,kisiwa cha malavidavi, Genes alijikuta akitikisa kichwa chake kwa kusikia wimbo huo,alipaona pale chumbani padogo baada ya Angel kumshika mkono na kumuinua alipoketi na kuanza kumsogelea taratibu,alikutanisha midomo,huku wakishikana nyonga."jamani mpenzi nimechoka naanguka" ilikua sauti nyembamba iliyopenya masikioni mwa Genes huku akipulizwa nakuingiziwa ulimi masikioni,Genes alimshikilia Angel vizuri kwani Angel alishaanza kuishiwa nguvu."tukae basi" Genes alimkaliasha Angel kitandani.Genes tayari alielewa lengo aliloitiwa pale na hakutakiwa kuzubaa,"tena kaka moja?" Genes alijisemea huku akimvua Angel kanga aliyovaa na kuanza kumpapasa sehemu mbali mbali zinazoamsha hisia,Angel alimfuta Genes kuashiria anatakaje kumnong'oneza kitu,bila kukawia Genes alisogeza sikio,"lakini mpenzi usiniache kwa sababu leo utapata penzi langu" Angel aliongea kwa hisia kali,kwani maranyingialishasikia wasichana wengi wakilalamika juu ya mwanaume anapopata penzi la mwanamke basi huwa ndio mwisho wa mahusiano hayo."siwezi kukuacha hata kidogo usijali" Genes alimjibukwa sauti ya chini,Angel alifurahi kusikia jibu hilo,alijiona wamaana kuliko wasichana wote duniani,alihisi kitukitamu kama asali kikipenya moyoni mwake.Genes alimsisimua Angel hadi akajikuta akilia,"unajualia wapi jamani hivi vitamu hivi" Angel aliuliza baada ya kumuona Genes jinsi anavyochezana mwili wake,"kwani mchina alileta hizi simu za kisasa kwa sababu ya nini?" Genes alijibu kwa utani huku wote wakiendelea kupeana raha.Angel alikua hajawahi kukutana na mwanaume kimwili, hivyo kitendo kile kilimfanya ajihisi yupo dunia nyingine,lakini kwa bahati mbaya wakati Genes alianza kumuingizia uume na kumtoa usichana wake basi Angel alizimia,Na kwakua Genes ilikua maraya kwanza kufanya mapenzi basi alifikiri ni hali ya kawaida kwa mwanamke kutulia hivo wakati akifanya mapenzi,"mbona hapumui tena, Genes alijiuliza huku akitoka kifuani kwa hofu,"mungu wangu na hii damu tena" Genes alizidi kuchanganyikiwa kwa damu iliyomtoka Angel. "atajua ngoja miminiondoke zangu afe mwenyewe" Genes alisema huku akifungua mlango wa chumbani na kutoka,lakini mlangomkubwa wa subuleni ulikuaumefungwana ufunguo haukuonekana pale,"Mungu wangu hapa nitatokaje na huyu mwanamke kashakufa,heri hata ingekua vichakani" Genes alijisemea huku akihema kwa kasi kwani hakuona msaada wowote ambao
ungemuwezesha kutoka pale.***

0 comments:

Post a Comment