STORY CHA KUZUGIA-03

Author
HADITHI:SAFARI YA MAREKANI,
SEHEMU YA TATU (3),
MTUNZI Deo Young Massawe,
MAWASILIANO 0769297430.
sehemu ya tatu (3)
Baada ya dakika tatu tayari Michael Reuben alikua anamkabidhi Anekke ujira wake pamoja na Anekke kumkabidhi watu alioagizwa,
"basi kama nilivowaambia huyu hapa ndio muajiri wenu na ndo atawaonesha sehemu ya kazi, Sikujua sasa mimi naomba sasa niwaache pamoja na wenzako nawatakia kazi njema mkipata kitu kidogo msinisahau na mimi"
"asante sana baba yetu Anekke umetukomboa kutoka kwenye shida kule Tanzania nakuahidi mshahara wangu wa kwanza",
Yalikua mazungumzo kati ya Anekke na Sikujua walipokua wakiagana kwani tayari tajiri yao ameshakuja.
Michael Reuben alikua mwenye sura ya upole na aliongea kwa upole na ukarimu,alijua lugha za mataifa mbalimbali ikiwemo kiswahili.
"sasa wanangu ndio kama hivo, tutakua sote katika hii biashara ya mgahawa tutakayoanzisha siku za karibu na kila mmoja wenu ataweza kujipatia dolla mia kwa mwezi,ila kabla ya kuanza biashara hiyo maana bado cjakamilisha baadhi ya mambo kuna kazi ingine nitawapa ila mshahara wenu kama kawaida wanangu mfanye kazi kwa bidii sana kwani katika maisha haya lazima upambane sana ili upate kufanikiwa",
" kazi gani tena baba yetu unatupa?"
"sio kazi ngumu, ni ya kuhamisha maandishi kutoka kwenye karatasi hii nataka nakala elfu tano",
Alisema Michael Reuben huku akiwaonesha karatasi ambayo walitakiwa kunakili maandishi kwenye karatasi zingine,
"ni kazi ndogo sana hiyo sasa utatulipa shilingi ngapi" aliuliza Gema ambae alikua katulia sana mda wote,
"Hii mtalipwa kwa mwezi hizo hizo dolla mia" alijibu Michael Reuben huku akiwapa mwelekeo wa kua watasafiri sasa kuelekea Los Angeles nyumbani kwake kwa kazi hiyo na wote basi wakaanza safari ya kutoka Texas hadi Los Angeles kuanza kazi ya kunakili maandishi fulani yaliyokua katika kikaratasi kidogo.
*
Benjami na Furaha baada kutengwa na wenzao walioenda Marekani basi walijitahidi kutafuta mtaji kwa kuanza kufanya biashara ndogo ndogo na hatimae walifanikiwa kuanza kilimo cha matikiti na hapo wakaanza kuona mwelekeo wa kupata mafanikio. Walipambana kwa hasira za kutengwa na walitaka kuwaonesha hata ukiweza kukaa Tanzania sio lazima usubirie ajira kutoka serikalini na hapo waliomba mungu asiwatupe katika mavuno.

Walifika katika jimbo la Los Angeles ambalo lilichangamka kwa starehe mbalimbali, maonesho mengi yalifanyika katika jimbo hilo.
Katika nyumba ya Michael Reuben aliishi na mwanamke wa umri makamo, na hapo akina Sikujua walimuheshimu kama mke wa tajir yao,ila pia hawakua na uhakika juu ya hilo.Walipewa vyumba viwili nao wakajigawa Gema na Sikujua walale pamoja huku Hilary na J'four nao walale kingine ili kesho yake waanze kazi.
Asubuhi na mapema waliamka na kukuta chai imeandaliwa tayari, nao wakanywa kisha kuoga na kuingia katika chumba walichopewa kwa ajili ya kazi yao, chumba hicho kilikua hakina dirisha hata moja ila kilikua na mipira ya hewa iliyoingia ndani pia kilikua mfumo wa kama chumba cha kusomea. Wakiwa kazini kila mmoja alipatwa na hali ya tofauti kwani kila mmoja alijihisi hali ya msisimko wa damu, Sikujua na Gema walishindwa kushika hata kalamu kana kwamba wamelagea sana. Hilary na J'four nao walijihisi hali ya kutaka kufanya mapenzi kwa ghafla hadi wakawa wanashangaa kwa nini hali hiyo imekuja kwa ghafla. Sikujua alishindwa kuvumilia hali ile na kumsogelea Hilary, bila kusita nae J'four alimsogela Gema na hapo alifuta na kumlaza kifuani mwake.
*
Katika ile hiyo nyumba ya Michael Reuben kulikua na chumba kimoja kilichokua kimejengwa kwa ajili ya kazi waliyokua wanaitiwa akina Sikujua nacho kilisheheni mitambo ya CCTV Camera,kwa hiyo mtaalamu Xychonglee kutoka China alikua makini kwa mda huo kwani aliletewa matukio kutoka chumba walichokua akina Sikujua kwa camera zilizofungwa katika chumba hicho na yeye alikaa na kutengeneza mikanda ya ngono.

Katika chumba cha akina sikujua kazi iligeuka na kua mapenzi tena yaliyodumu kwa takribani masaa matatu mfululizo na ndipo wote walichoka na kushindwa hata kusimama ingawa bado damu bado ilichemka.
Michael Reuben aliingia chumba cha huyo mnasa matukio kutoka China na kungalia mambo yanavyoenda alifurahi na kumpongeza daktari wake ajuliakanae kama Dr.Ferdinand kutokea Colorado kwa kumpa vidonge aina ya Viagra vinavyotumika kusisimua mwili kwa kuupa nguvu ya kufanya mapenzi kwa mda mrefu kwa mwanaume, pia alifurahi jinsi wanawake walivyolegea wenyewe kwa kupewa vidonge aina ya Flibansern vilivyotibitishwa na shirika la kuidhinisha madawa la FDA nchini Marekani ilikua na uwezo wa kumletea mwanamke hamu ya kufanya ngono na ilitumika sana na wanaume wasioweza kumtongoza mwanamke kwa kumchanganyia katika kinywaji au chakula na pia vilotumika katika nchi mbali mbali duniani ikiwemo Tanzania ilitumika zaidi kwa wanawake waliokua wakiwakatalia wanaume mapenzi hivo hutumia vidonge hivyo na hapo mwanamke bila kujijua anapandwa na hisia ambazo baadae anaanza kuamini kua ni nguvu za giza lakini ukweli ndio ulikua hivo kuhusu vidonge vya flibansern.
Walikaa kwa masaa matano ndipo kwa umbali walianza kurudia hali zao za kawaida bila kutoka chumbani wala kufungua mlango,baadae waliendela na kazi zao kwani hawakuamini kama wote walifanya mapenzi bila kuoneana aibu wala kuogopa tajiri yao asitokee.
"ama kweli leo cjui kama tusingekua na wanaume huku ndani dah kumbe hawa wanaosagana hawapendi wao ni upepo wa shetani unapiga wakiwa mwenyewe" alisema Sikujua huku wakiendelea na kazi.
Jioni ikifika mda wa kufunga kazi na wote walijiandaa na kulala ili kesho yake kazi iendelee.

Michael Reuben alifurahi kwa kuona mwanzo wa kazi yake umeenda vizur.
"Sasa leo mmefanya na nyie kwa nyie kesho itabidi mfanye na mbwa na nitahakikisha mimi ndie nitaandika historia ya kutengeneza mkanda ya ngono kwa kuteka soko lote duniani kwani hawa watafanya na wanyama mbali mbali mwisho niwauwe ndio niuze hizi mikanda" alijisemea Michael Reuben na kulala.


Itaendelea,.......

posted from Bloggeroid

0 comments:

Post a Comment