Marafiki Club~5
By Sparner Boy~0765148781
Ilipoishia
kilichokuwa kinamshangaza ni kwamba mlango
ulikuwa umefungwa sasa kama ameondoka
amepita wapi? Alijiuliza.
Endelea..
Alianza kutetemeka kwa wasiwasi alihisi huenda
ametembea na Jini.Alivaa nguo ila kabla
hajatoka akatafuta yale mashuka yaliyokuwa na
damu ili ayafiche mahali kwa kuhofia
kulipishwa kwani kabla ya kukabidhi chumba ni
lazima kikaguliwe kama kila kitu kipo
sawa,alisogea pale alipoyaweka ambapo
aliyakuta ila cha ajabu hazikuwa na damu ata
kidogo,Alishangaa kwa kitendo kile kwani
mashuka ni yeye alieziweka pale zikiwa na
damu sasa zipo kawaida hazina damu.Alishtuka
akatoka mpaka mapokezi na kumkuta dada
mwingine baada ya yule wa usiku zamu yake
kuisha.
"samahani dada kuna dada niliingia nae jana
usiku amepita apa?"
"hapana,ila nimeingia sasa hivi na kama
ametoka atakuwa amesaini, mliingia jana saa
ngapi"
"kwenye saa sita ivi"
yule dada alichukua kitabu na baada ya
kukagua akamuuliza
"unaitwa nani na huyo dada anaitwa nani"
"mimi naitwa Roy mpenzi wangu ni
Husna,nimeamka asubuhi simuoni"
"Roy apa inaonyesha uliingia peke yako ata
saini ipo yako tu hii apa"
aliongea dada yule uku anamuonyesha Roy
kitabu,Roy aliona kama ndoto kwa sababu
anakumbuka kabisa aliingia na Husna na wote
walisain.
Alikabidhi chumba akaondoka uku haelewi
elewi bado.
"ina maana mambo yote niliyoyafanya jana
nilikuwa naota au vipi,au pengine jana
sikufanya mapenzi"
Roy alikuwa anaongea peke yake wakati
anatembea kuelekea nyumbani.Kutokana na
waswasi aliokuwa nao aliingia kwenye kichaka
na kumkagua jogoo wake kama kweli usiku wa
jana alipanda mtungi au alikuwa anaota na kwa
kuwa hakuwa ameoga ilikuwa rahisi
kujigundua.Alipoangalia kila kitu kilionyesha
kuwa aliraruana ata alipoifikicha na kuinusa
alisikia harufu safi ya naniliu pamoja na
marashi ya Husna kwa mbali,alipojikagua zaidi
kwenye shina la mnara wake kulikuwa na damu
iliyogandiana apo akajua ni kweli aliraruana na
alimtoa Husna usichana wake ila alipoelekea
ndio hakujua.
Alipofika nyumbani kitu cha kwanza alielekea
bafuni na baada ya kujimwagia maji akielekea
kitandani kwani alikuwa anajihisi kuchoka
ukizingatia saa 7 anaenda kazini.
Alipolala aliota yupo disco wanacheza na Husna
ila pembeni Joan alikuwa amekaa
anawashangilia na watu walikuwa wengi
akiwemo bos wake.Wakati wanacheza alipita
mlevi mmoja na kumtapikia Joan mguuni
kitendo kilichofanya Joan kubadilika na kuwa
kiumbe cha ajabu akaanza kula watu.Wakati
watu wanakimbia ovyo kile kiumbe kilimfuata
Roy na kutaka kumdhuru ila kabla hakijafanya
vile Husna alianza kupambana nacho.Alijitahidi
ila mwisho Husna alizidiwa nguvu kile kiumbe
kikamrukia Roy shingoni apo Roy akashtuka
usingizini jasho linamtoka pia mapigo yake ya
moyo yakiwa yanamuenda mbio.Alijiuliza
inakuaje amuote Joan wakati hajawah
kumuona.Hakuendelea kulala aliamka
akajiandaa na kwenda kazini.
* * *
Baada ya wiki moja alianza kusahau yale
masaibu ila Joan hakuwa anapatikana kwenye
simu pia ata facebook hakuwa anaingia.Roy
alipata waswasi mpenzi wake kimemkuta nini
na ile ndoto aliyoota alihisi huenda husna ni
jini na amemuuwa Joan wake.
Siku moja akiwa nyumbani anajiandaa kulala
alipigiwa na namba geni na alipopokea alisikia
sauti tamu na nzuri sana ambayo alishaisikia
mahali ila hakukumbuka ni wapi.
"hellow Roy i miss you"
"asante nikumbushe we nani"
"umesahau sauti yangu mara hii"
"oke,upo wapi labda nitakukumbuka nikijua
ulipo"
"naumwa tokea siku ile yani uliniumiza"
"nilikuumiza lini dada?"
"hotelini siku ile ulinifanyaje?"
Roy baada ya kugundua ni Husna alikata simu
haraka kwa uoga alishtuka sana kwani alishahisi
huenda husna sio msichana wa kawaida kwanza
alijiuliza namba zake ametoa wapi,wakati
anawaza sim iliita tena akapokea
"Husna nisamehe usinidhuru"
"we kichaa nini,nikudhuru kwa lipi,siku ile
nilipata dharura nikaondoka pia namba zako
nilichukua sim yako nikajibip ndio nikawa na
namba zako,uliniumiza mpaka leo nipo
kitandani naomba njoo nisalimie"
Husna aliongea maneno mengi sana hakumpa
Roy nafasi ya kuuliza swali,mwisho Roy alianza
kumuelewa na wakapanga wiki ijayo Roy aende
Moshi mkoani kilimanjaro akamsalimie Husna.
Waliendelea kuwasiliana na Husna alimwambia
Roy kuwa yeye anaumwa bado,na akimuona
ndio atapona.Siku waliopanga ilifika Roy
aliamka asubuhi akamuaga shangazi kuwa
anakwenda kumsalimia Rafiki yake na Shangazi
yake bila kumuuliza ni wapi
akamruhusu.Alipiga simu Kazini akadanganya
kuwa ana mgonjwa Kcmc,Bos alimpa pole
akamwambia
"subiria mtemi Trans ya bluu ndio inatoka
mjini inaenda moshi,kuna mzigo dereva
atakupa pia panda na hatakudai nauli pole sana
dogo"
Roy alifurahi Bos wake anamjali,kweli boss
wake mbali na bar pia ana magari ya abiria za
moshi Arusha na daladala za kawaida zote
aliziita Mtemi Trans.
"hawezi kuwa jini yule msichana mzuri
sana,alafu majini huwa hawana makao sasa
huyu anaishi kwake kabisa hawezi kuwa jini"
Aliwaza hayo Roy wakati huo bus ndio
limeshika barabara haswa na abiria wote
walikuwa kimya wanafurahia safari yao ndani
ya mtemi trans.Wakati safari inaendelea ilisikika kishindo kikubwa kwenye tairi la mbele na wakati abiria wakiwa kwenye taharuki bus na kutoka nje ya barabara ambapo kulikuwa na korongo,ilipinduka mara kadhaa na kuanza kuwaka moto.Hakukuwa na mtu kilio kilichokuwa kinasikika wakati gari lile linawaka kitendo kilichohashiria kuwa abiria wote walishapoteza uhai wakati bus linapinduka....
itaendelea..

posted from Bloggeroid
0 comments:
Post a Comment