MARAFIKI CLUB-39

Author
Marafiki Club-39
By Sparner Boy 0765148781

Ilipoishia..
Kule kwenye karai kulitokea kitu cha ajabu ambapo mganga na yeye alipoangalia alishtuka akawa anarudi nyuma kwa uwoga..

Endelea..
Kule kwenye maji ilitokea makalio ya mtu lakini sura haikuonekana.mganga alimgeukia Naomy akamuuliza
"binti apa haiwezekani hii kazi ni ngumu na sintaweza kuifanya"

"kwa nini jamani na haya makalio ni ya nani""
"ya aliekupa mimba na kwa sheria zetu za kichawi ukimuita mtu asipotokea sura ikatokea makalio yake ujue huyo mtu ni hatari"

"sio mchawi buana mbona mwanzoni tuliweza kumfanyia huyu mi namjua hana kitu"

"ndio huyu tulifanya mashine yake isiamke?"
"Ndi.."

Kabla hajamalizia mganga alionekana kuchanganyikiwa aliongea maneno ya kiganga akamwabia Naomy avue nguo.Naomy alipouliza kwa nini mganga alimwambia ni lazima wafanye mapenzi kurudisha dyu dyu ya Roy ifanye kazi kwa sababu Roy anaonekana ni hatari zaid yake hivyo asije akamdhuru.Wakati Naomy anashangaa pale pale mganga alimrukia akaanza kumvua nguo kwa fujo,hakukuwa na maelewano ata kidogo alivuta chupi ya Naomy mpaka ikakatika mpira wa kiunoni kisha kwa haraka alianza kumuingilia huku Naomy analalamika kuwa anaumia

"jamani taratibu basi unaniumiza buana"

"nyamaza we binti ulitaka kuniletea matatizo"
"kumbuka mimi ni mjamzito jamma...niii"

Mganga hakujali aliendelea kumshughulikia Naomy haraka na alipomaliza alichukua wale wazungu aliyowamwagia kwenye utam wa Naomy akaweka kwenye bati flani kama kijiko kisha akamwambia Naomy avute.Naomy aligoma kwa sababu alijua mganga anamwambia ale,mganga alimwangalia kwa hasira kisha akamwambia..
""pumbavu sijakuambia ule.siku ile si ulipuliza.sasa leo ufanye kama unapuliza lakini hewa unavuta ndani"

Naomy alifanya hivyo ambapo wale wazungu walipotea pale kwenye kile kibati na hapo Roy akawa mzima.Baada ya zoezi lile mganga alimtimua Naomy akamwambia asimletee tena kazi kama zile.

Naomy aliondoka kuelekea nyumbani machozi hakiwa yanamtoka na hakujua atamweleza nini baba yake kuhusu ile mimba na aliomba Mungu baba yake asirudi mpaka atakapojifungua ambapo atamuuwa yule mtoto.Aliomba sana ikiwezekana baba yake asirudi kwani kwa wakati ule alikuwa nje kikazi.

* * *
Baada ya mwezi mmoja lile kanisa likiendelea kuporomoka.waumini waliendelea kupungua kila siku badala ya kuongezeka.

Siku moja jumapili wakiwa kanisani Husna aliingia akiwa amependeza sana,kwa jinsi alivyokuwa amevaa kila mtu alimwangalia,hakuna aliewahi kumuona zaidi ya Roy na Ester watu ambao walishaacha kwenda pale kanisani pia Anjel na yule kiongozi wa kanisa hawakumkumbuka kuwa ni yeye aliyewafumania ofisini mwezi mmoja uliopita wakila uroda.Kanisa nzima lilinukia marashi yaliyoonekana ya bei ghali sana yasiyoumiza pua.Watu walijiuliza binti yule mrembo wa kiarabu amefikaje kanisani kwao.

Baada ya ibada yule kiongozi wa kanisa akiwa ofisini kwake Husna alimfuata na baada ya salam yule mzee alimuuliza Husna shida yake,Husna alikaa juu ya meza sketi aliyokuwa amevaa ikapanda juu mapaja yake meupe yakawa wazi mpaka kiongozi yule wa kanisa mate yakaanza kumdondoka.Husna alitabasamu kisha akamwambia..

"Najua hiki kiwanja cha kanisa ni cha kwako ulitoa kama msaada kanisa likajengwa si ndio"

""ni kweli mimi nilimtolea hiki kiwanja Mungu"
""sasa sikia,kanisa lenyewe linakufa mda si mrefu watu wote humu ndani watenda dhambi mpaka mama mchungaji kabeba mimba nje ya ndoa bado mnasema kanisa,nataka hiki kiwanja niuzie kwa gharama yoyote"

"hapana hii nilishamtolea Mung.."
"shsh..niuzie buana nitakupa pesa na chochote utakachotaka..hizo pesa utaenda kuwanunulia sehemu nyingine"
Alizungumza Husna huku anatanua miguu yake zaidi na mzee yule wa kanisa akawa anaangalia pupi nyeupe ya Husna ikiwa inaonesha utamu kwa mbali.
Husna aliendelea kumchanganya yule mzee ambapo alianza kupapasa dyudyu yake uku anampa maneno matamu ya kimahaba na kumuhaidi pesa nyingi sana pamoja na penzi tamu.

Ndani ya nusu saa mzee alikuwa hoi baada ya kufanyiwa michezo mbali mbali ya kimahaba na binti yule mwenye asili ya kiarabu,alimfanyia kila kitu lakini papuchi hakumpa alimuhaidi kumpa siku akikubali kumwuzia kiwanja kile.
Husna alipohakikisha mzee yupo hoi alifungua pochi akampa milioni 5 akamwambia ni ya chai kisha akam'busu na kuondoka.

Mzee yule wa kanisa hakuamini kuwa amepewa milioni tano anaambiwa ya chai.Moyoni alijisemea
"hii ni bahati yangu imeandika watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa sasa apa sifanyi kosa""

Baada ya kufikiria sana alikata dau kumbwa ambapo Husna hakujali alilipa na waumini wakaambiwa wahame mara moja.
........
Baada ya miezi mitatu kanisa lilishauzwa,hakuna aliyeweza kumzuia mzee yule kwa sababu kile kiwanja alitoa bure na gharama zilizotumika kujenga kanisa alizirudisha mara mbili.Baada ya kila kitu kukamilika kanisa lilivunjwa haraka na ujenzi wa Club mpya ikaanza.

Mama mchungaji alikuwa analetewa tu taarifa ambazo zilimpa mawazo zaidi.
Siku zilienda hatimae akajifungua mtoto wa kike ambapo alimpa jina la Rehema.Siku mbili baadae Ester alifuata akajifungua mtoto wa kike pia na kumpa jina la Nancy.

Kwa upande wa Naomy alijifungua salama lakini kwa bahati mbaya mtoto alifariki,Hakuhuzunika alifurahi kwani mimba ile ilimtesa na alishapanga akijifungua anamuuwa yule mtoto na kwa bahati nzuri baba yake hakuwa amerudi.Alicheka sana mpaka manesi waliokuwa wanamuhudumia wakashangaa...

Itaendelea

posted from Bloggeroid

0 comments:

Post a Comment