MARAFIKI CLUB -38

Author
Marafiki Club-38
by Sparner Boy 0765148781
ILIPOISHIA..
Ndani ya sekunde chache walianza kuona maajabu yanayoendelea mle kanisani nyakati zile za usiku..
Endelea..
Waumini walikuwa kwenye mkesha wakiimba na kucheza ambapo ni kawaida kuwa na mkesha kila ijumaa pale kanisani.Wakati watu wanaimba baba mmoja mwenye cheo kikubwa pale kanisani alionekana akimmezea mate binti mmoja wa pale kanisani anaeitwa Anjel.Wakati nyimbo zinaendelea yule baba aliondoka pale mbele ya kanisa akatoka nje lakini alipofika kwa Anjel alimgusa kiuno bila mtu yoyote kuona na kutoka kuelekea nje. Mda mfupi baada ya kiongozi yule wa kanisa kutoka nje Anjel alimfuata mpaka kwenye ofisi iliyokuwa na mchungaji na sasa baba yule ndio anaitumia baada ya mchungaji kufariki.
Walipofika ofisini baba yule alianza kumshika shika Anjel sehemu mbali mbali za mwili wake.Anjel alionekana kutofurahia kitendo kile akamwambia..
"Na leo tena unataka"
"ndio Anjel yani mapambio hayaingii kichwani nipe kidogo"
"lakini jana si tulifanya mpaka ukaridhika"
"ndio Anjel lakini naomba kidogo tu"
wakati yule baba anaongea maneno hayo alikuwa anashusha chupi ya Anjel huku anabusu busu shingo ya binti yule kimahaba na Anjel alionekana kuwa ameanza kuelewa somo.Baada ya kumvua chupi alimwinua akamkalisha juu ya meza kisha akatoa koni yake iliyokuwa imesimama wima,bila aibu baba yule alipaka koni ile mate kidogo baada ya hapo taratibu akaingiza kwenye utamu wa Anjel.Roy na Ester hawakuamini kwani wakati Anjel na baba yule wakivunja amri ya sita kwenye ofisi ya kanisa,uku kanisani vijana walikuwa wanaimba wakishikana shikana ovyo na mabinti wa pale kanisani bila hofu wala kumwogopa Mungu.Husna alicheka kwa dharau akanyoosha mkono ukutani na ile tv ikapotea.Aliwageukia na kuwaambia..
"mmeona kanisa lenu?"
"hapana mimi siamini huenda ni mchezo umetuchezea wewe,baba yule tunamwamini na hawezi kufanya kitendo kile"
aliongea Ester kwa kujiamini akionekana kutoamini alichokiona.
Husna alicheka akawashika mkono mpaka kwenye gari,alikaa kwenye usukani mwenyewe na aliendesha gari kwa kasi ya ajabu.Ndani ya mda mfupi walifika kanisani moja kwa moja wakaenda kuchungulia dirishani.hawakuamini macho yao kwani walichokiona kwenye tv ndio kilichokuwa kinaendelea.Husna hakuishia hapo aliwapeleka kwenye ofisi ya kanisa ambapo yule mzee alikuwa na Anjel.Mlango ulikuwa umefungwa lakini Husna bila uoga aliusukuma na ilipofungukua walimkuta Anjel akiwa anavaa chupi yake baba wa kanisa akiwa anatota kwa jasho vifungo vyote vya shati vikiwa vimefunguliwa kifua chote kipo wazi.Walishtuka sana lakini hakuna aliemsemesha mwenzake wakaondoka na kurudi nyumbani.Akina Roy baada ya kuondoka Anjel alisema
"si unaona tumeonekana ndio maana nilikuwa sitaki"
"ata mimi sijui hawa watu wametokea wapi"
"aaagh,mi sikupi tena we unataka kila siku kwenda uko"
aliongea hayo Anjel na kutoka nje kwa hasira.
Husna alipowafikisha akina Roy nyumbani waliwaaga na kuondoka akiwaambia atarudi siku nyingine.
* * *
Mama mchungaji alikuwa mtu wa mawazo sana ata kanisani hakuwa anaenda na kila siku alikuwa anamwomba Mungu amsamehe makosa yake.
,,,,,,,,,,,,
Naomy baada ya kuangaika sana kutoa mimba ile bila mafanikio alirudi kwa mganga yule ushauri alioupata kutoka kwa Sheila.Alifika akapokelewa vizuri kisha mganga akamwambia kuwa tatizo lile limekwisha.Kwanza alimiminia maji kwenye karai akamgeukia Naomy na kumwambia..
"angalia haya maji ukitaja jina la aliyekupa ujauzito huu"
Naomy aliangalia karai lile akataja jina la Roy mara ya kwanza,mara ya pili,kabla hajataja mara ya tatu kule kwenye karai kilitokea kitu cha ajabu sana ambapo mganga na yeye alipoangalia karai lile alionekana kushtuka sana akaanza kurudi nyuma kwa woga.....
Itaendelea..

posted from Bloggeroid

0 comments:

Post a Comment