Marafiki Club-33
By Sparner Boy 0765148781
ilipoishia..
aliinuka na kwenda kusimama mbele ya kanisa karibu na mama mchungaji huku anajitahidi kuficha uoga wake uliokuwa unaonekana wazi wazi
endelea..
Roy alihisi tumbo kama linakata kwa uoga,alimwangalia Ester aliyekuwa amenyamaza anawaangalia,na alipoangaza macho mle kanisani alishtuka sana baada ya kumuona Naomy akiwa amekunja nne na macho yao yalipogongana Naomy alibinua mdomo kwa dharau kisha akaangalia pembeni.
Mama mchungaji alikohoa kidogo kuweka sauti yake vizuri na akaomba watoto wote watoke nje.Baada ya zoezi lile kukamilika alianza kwa kusema:
"Kwanza kabisa naomba msamaha kwa kanisa wakiwemo wazee wa kanisa,washirika wote pamoja na mchungaji ambae ni mume wangu.Sijui nini kilitokea pia sijui nianzie wapi,nimejaribu kuificha dhambi hii lakini nimeshindwa kabisa kwani moyo wangu umekuwa ukikosa amani kila siku"
Alivuta pumzi kidogo akapiga magoti kisha akaanza kueleza kila kitu akianzia pale mchungaji aliposafiri,vitu vya ajabu juu ya bati mpaka kufanya mapenzi na Roy,alieleza kila kitu bila kuficha chochote akiwa amepiga magoti na alipomaliza wanawake wengi mle kanisani walikuwa wanalia machozi.Mama mchungaji alisita kidogo kisha akaendelea..
"ku..kutokana na niliyoyaeleza,nasikitika pia kusema hii mimba niliyonayo sio ya mchungaji hii ni mimba ya Ro.."
kabla hajamalizia waumini wote walisema
"Jesus"
ilitokea tafrani kubwa sana huku wengine wakiinuka tayari kuondoka,kila mtu alikuwa anaongea lake lakini kabla hajatoka ata mmoja Roy alisema
"nooo mama mchungaji hana kosa!"
Watu walinyamaza kimya Roy alipotamka maneno yale.Waumini waliokuwa wamefika mlangoni wakitaka kuondoka walirudi taratibu.
"mama mchungaji hana kosa,mimi pia sina kosa lolote kwa sababu nilifanya vile kuokoa Maisha yangu na aliyekuwa akiniongoza ni Husna"
"Husnaa!"
waliuliza kwa mshangao lakini kabla Roy hajawajibu swali lao ilisikika kishindo kikubwa mbele ya kanisa na watu walipoangalia kishindo kile kimetokana na nini walishangaa kumuona mchungaji akiwa chini huku anatapa tapa akirusha miguu.Bila kupoteza muda haraka waumini wakisaidiana na viongozi wa kanisa walim'beba mchungaji mpaka kwenye gari na kumuwahisha katika hospitali ya KCMC.
Baada ya mchungaji kuondoka kila mtu alikuwa kama aliyechanganyikiwa na pale ndani hakuna cha maana kilichokuwa kinaendelea kila mtu alikuwa anaongea lake.Roy alipita kati kati yao na kutoka nje huku kila mmoja akimwangalia.Alikuwa hajielewi mpaka wakati ule na hakuona cha maana tena pale zaidi ya kuondoka eneo lile.Wakati anaelekea kwenye gari lake Naomy alimfuata na kumwambia
"kidume hongera sana,sasa kati ya mimi,mama mchungaji na Mariam utamchukua yupi kwa sababu mimi na mama mchungaji tuna mimba yako kwa upande wa Mariam sijui"
"Naomy naomba niache kwa sasa hivi sipo sawa"
"nataka nijue muafaka wa hii mimba uliyonipa Roy,pia na mama wa watu umemjaza oh my God!"
alizungumza hayo Naomy huku anashika kichwa chake kwa kutoamini alichokiona leo kanisani,Wakati Roy anatafuta jibu la kumpa Naomy, Ester aliwapita akafungua gari na kuingia bila kuongea chochote.Macho yake yalikuwa mekundu kwa kulia mda mrefu kutokana na aliyoyashuhudia pale kanisani.
Naomy alimwangalia Ester,akamgeukia Roy na kumuuliza
"Na huyu naskia ana mimba pia ni yako si ndio?"
"ndio"
"my Gooodnes"
alikaa chini Naomy baada ya kusikia jibu lile.Roy hakumjali alifungua mlango wa gari lakini kabla hajaingia Naomy alimshika mguu na kumuuliza
"sasa kati ya mimi na Ester utamuoa nani,si unamjua baba yangu lakini"
"nampenda Ester wewe nitafute tuongee tujue tunafanya.."
"stoop Roy stoop,nimekuelewa lakini utanijua mimi ni nani nitamuweka Mungu pembeni nikushughulikie labda kama sio mimi au mimi sio Naomy"
Roy aliyapuuza maneno ya Naomy akapanda kwenye gari na kuliondoa kwa kasi ya ajabu na Naomy akainuka pale chini na kuelekea nyumbani akiwa na hasira sana.
Ester hakuongea chochote barabara nzima alikuwa akilia tu,Roy alimuonea sana huruma na aliwaza kuwa wakifika nyumbani atamueleza kila kitu.
* * *
Mchungaji baada ya kufanyiwa uchunguzi iligundulia kuwa alipata mchtuko wa moyo pia presha ilikuwa juu sana hivyo matibabu yalianza mara moja.Siku tatu mchungaji hakuwa amepata nafuu yoyote,alikuwa akilishwa kwa mashine na mapigo yake ya moyo yalikuwa yakionekana kwenye compyuta iliyounganishwa na mtambo maalum kutoka kwenye moyo,Siku ya nne asubuhi nesi aliyekuwa anamwangalia mchungaji aliingia lakini alipoangalia mapigo ya moyo ya mchungaji pale kwenye compyuta ilionesha kuwa moyo umesimama.Nesi haraka alimwita daktari ambapo walichukua mashine maalum ambayo ni kama shoti na ni maalum kwa kushtua moyo na endapo wakishtua moyo wa mchungaji mara kadhaa bila mafanikio,maana yake ni kwamba mchungaji atakuwa ameaga dunia..
Itaendelea..

posted from Bloggeroid
0 comments:
Post a Comment