MARAFIKI CLUB -13

Author
astory
Marafiki Club~13
Ilipoishia..
alivaa na kupendeza kisha taratibu akaingia mtaani kuwinda msichana atakaemuanzishia kazi yake kwa siku hiyo
Endelea..
Hakujua atakapoanzia kwani ni mgeni katika mkoa ule pia hakujua anapoelekea.Wakati anatembea aliona soko moja dogo ambalo hakulifahamu,alijiona mjinga sana kwenda sokoni kwani mawazo yake alitaka aende sehem za starehe ambapo kuna wasichana wengi.Alisimama akaangalia saa yake iliyoonesha nia saa kumi na moja kasoro,alikuwa anahisi njaa kwani hakuwa amekula chochote mchana ule,Alipoangalia pembeni aliona mgahawa mmoja pembezoni mwa soko lile akaingia na kuagiza chakula.
Wakati anakula alianza kumuangalia dada aliemhudumia juu mpaka chini wakati huo yule dada hana habari yupo bize na wateja.
"nikikosa kabisa naruka na huyu dada najua hatanikataa nikimpa pesa"
aliwaza Roy wakati anamwangalia yule dada mhudumu kwa jicho la uchu.Alipomaliza kula yule dada alikuja na wakati anatoa vyombo mezani Roy alimuuliza
""dada unanidai bei gani""
"elfu nne na mia tano"
"na kushiba kote unanidai pesa kidogo kama hiyo,chukua hii chenchi baki nayo"
alizungumza Roy na kumkabidhi dada yule noti moja ya elfu kumi.
"asante sana kaka yaani ata siamini"
"usijali kawaida tu,unaitwa nani"
"oooh,,,wanachuo wametoka tayari,samahani nitakuwa bize kwa sasa tutaongea baadae"
Yule mhudumu hakujibu swali aliloulizwa na Roy,alizungumza maneno hayo na kuondoka.maneno hayo yalifanya Roy kuangalia mlangoni ambapo aliwaona wanafunzi wakiingia kwa makundi mle hotelini na alitambua jina la chuo wanachosoma kwani baadhi yao walikuwa wamevaa tisheti zilizoandikwa KCMC university moshi.
Wakati anawaangalia wanafunzi wale,Meza ya jirani aliyokuwa amekaa Roy walikuja wasichana watatu warembo sana wakakaa uku wanaongea maongezi ya kawaida wakiwa wamevaa nguo za kawaida tofauti na wale wanachuo.Katikati ya maongezi yao alimsikia mmoja akisema
"jamani naombeni msinicheke pesa nilizotumiwa zote nimempa Michael"
"we Anjel mjinga kweli yani pesa ulizotumiwa na wazazi wako unahonga mwanaume,sasa unataka tukusaidie nini"
"atanirudishia jamani ana shida nampenda nilipieni chakula mimi wiki ijayo nitawarudishia"
"nyoo;;;nani wa hivyo jinga sana wewe unahonga mwanaume kale ub*o wake leo"
aliongea kwa hasira mmoja wa wadada wale alieonekana kukerwa na tabia ya mwenzao kumpa boyfend wake pesa alizotumiwa na baba yake na yeye kubaki kwenye msoto.Mhudumu alikuja akawauliza awasaidie nini yule dada mwenye jazba akasema
"sisi wawili tupe wali kuku huyu Anjel maskini wa kufikiri mpe wali maharage"
"sitaki chakula cha kutukaniwa,dada nipe soda nitalipa"
Wakati wanaendelea kulumbana Roy aliingilia maongezi yao kwa kuwaambia
"jamani acheni kulumbana sio vizuri"
"hapana kaka sio hivyo lakini huyu mwenzetu.."
"baasi nimewasikia bili zenu mimi nitalipa nyie kuleni mnachopenda"
wale warembo baada ya kusikia maneno hayo kutoka kwa Roy waligonga mikono yao ishara ya kupongezana.
Wakati warembo wale wanaendelea kula mmoja aliagiza bia na kumwambia Roy
"kaka usihofu hii bia ni bili yangu"
"wala usijali nyie kunyweni nitalipa zote"
wale warembo waliangaliana walionekana kutoamini maneno yale,Roy kuwathibitishia alihamia kwenye meza yao bia zikaanza kuletwa kwenye meza ile kama mvua ya mawe.Wakiwa wanaendelea kunywa mmoja akasema
"kaka tufahamiane.mimi Naitwa Rispa,huyu apa ni Anjel na huyo apo pembeni yako anaitwa Lily,tunasoma apo chuo cha udaktari Kcmc mwaka wa pili"
"nimefurahi kuwafahamu,naitwa Roy mimi ni mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite natokea Arusha"
"waaoh,hongera Roy"
Walijibu kwa pamoja warembo wale wakionekana kufurahishwa sana na kazi anayofanya Roy.
* * *
Mpaka saa tatu kasoro usiku walikuwa eneo lile,Rispa na Lily walikuwa wamelewa zaidi kuliko Anjel.Walikuwa wanaongea onyo wakimsifia Roy kwa kuwalewesha.Roy alicheka na kumgeukia Lily aliekuwa karibu yake na kumuuliza anavyojiskia..
"najiskia poa"
"Hostel kwenu ni wapi niwasindikize au niwachukulie tax?"
Roy alimuuliza kiupole akiwa anampapasa mapajani taratibu uku anapandisha kile kisketi juu,Rispa na Anjel hawakujua kilichokuwa kinaendelea kwani meza ilikuwa imewazuia.
Lily alitulia kama maji mtungini akawa anatanua miguu yake na kubana uku anamrembulia Roy,kwa sauti ya chini akajibu
"mi sitaki kwenda hostel wachukulie Rispa na Anjel tax"
"Liliaaan,,,mara hii umeshatuchoka marafiki zako,kaka usijali huyu akilewa ndio anavyokuwaga"
msijali nyie nitawapa pesa ya tax,huyu atakuja asubuhi chukueni na namba zangu za simu.Roy aliwapa kila mmoja shilingi elfu thelathini wakaondoka lakini Rispa alionekana kutoridhika na hali ile aliondoka kwa shingo upande.
Roy alianza kumkokota Lily na mbele kidogo aliona kibao kilichoandikwa "Nafasi zipo".
Moja kwa moja alijua ni gest,Alipata chumba na baada ya kulipia alimshika Lily aliekuwa amelewa bwii na kumpeleka chumbani.
Alimlaza kitandani na bila kupoteza muda alianza kumvua viatu uku anapapasa mapaja meupe na malaini ya Lily yenye unene wa wastani,Lily aliongea kwa sauti ya kilevi akis ema
"unaninyegesha bana bro nit*mb* tu kabisa nijue leo nimet*mbw*"
"sasa hupendi mpenzi nikunyegeshe?"
Alijibu Roy wakati huo anaendelea kupunguza nguo za Lily moja moja mpaka Lily alivyobaki na chupi ambapo Roy alianza kuvua nguo zake haraka haraka na kubaki kama alivyozaliwa.Alianza kunyonya vichuchu vya binti yule wakati huo anamvua chupi tayari kula tunda la edeni.Lily hakuwa anatoa ushirikiano wowote zaidi ya miguno ya hapa na pale na hii ni kutokana na kulewa sana.Wakati anavua chupi ya binti yule alishika kitu kigumu kwenye chupi ile kwa mbele na alipoangalia kwa makini alichanganyikiwa kwani ilikuwa ni Pedi iliyokuwa na damu damu kumaanisha Lily alikuwa kwenye siku zake.Alishtuka sana akasimama kama mshale, hakuamini alichokiona, alimwangalia Lily kwa hasira akawa anawaza amfanye kitu gani kwani aliona lily ni kama ameamua kumfanyia makusudi.
""Kwa nini hukusema mshenzy wewe""
Alilalamika Roy wakati huo tarimbo yake imeanza kulala kwani ata hamu ilipotea ghafla.Wakati anajiuliza kitu gani afanye pale pale kuna wazo lilimjia....
pres lik/share kama unataka story iendelee
Itaendelea

posted from Bloggeroid

0 comments:

Post a Comment