MARAFIKI CLUB-12

Author
Marafiki Club~11
Ilipoishia..
haraka alianza kuifungua akiwa na shauku ya kujua kilichokuwa kimeandikwa ndani
Endelea..
Alipofungua kitu cha kwanza alikutana na kadi za benk zikiwa zimeambatanishwa na karatasi yenye ujumbe fulani,haraka alifungua ile karatasi akasoma ujumbe uliokuwa umeandikwa kama ifuatavyo:
""Najua umeumia sana pia umejiuliza kwa nini nimechukua maamuzi haya.Kiukweli nimeumia sana ulivyonisaliti kwa kutembea na mfanyakazi wangu kumaanisha yeye ni bora kuliko mimi,usijilaumu sana Roy duniani kila kitu kinatokea kwa mpango na huwa hakuna bahati mbaya duniani kila kitu huwa kinatokea kwa kusudio maalum.Hizo kadi za benki utazitumia kutoa pesa mda wowoye utapozihitaji kwa ajili ya kazi hakikisha unafanya hiyo kazi mpaka unaimaliza kila wiki hakikisha unatembea na wasichana wawili tofauti au zaidi ukiweza najua hakuna kitakachokushinda wakati pesa unazo.Hiyo barua ya pili usiisome sasa hivi kwani utaharibu mambo yote isome baada ya kazi kuisha,naomba itunze hiyo barua ya pili mpaka utakapomaliza kazi pia mtunze Mariam usimtelekeze.Tuombe uzima labda siku moja tutaonana,namba ya Siri ya kutoa pesa ni "marafiki Club""
by Husna.
Roy alipomaliza kusoma barua ile machozi yalikuwa yanatiririka hakuamini Husna alikuwa anampenda kiasi kile mpaka ikampelekea kujitoa uhai wake.Aliwaza sana lakini akajipa moyo kuwa ni bora jini yule amemtoka katika maisha yake.
"nitafanya kazi yake na nikimaliza hatanifuata tena nitakuwa huru"
aliwaza hayo Roy wakati huo anahamia viti vya nyuma mle garini kwa ajili ya kuutafuta usingizi.
Asubuhi aliamka mapema,hakumwambia Mariam kwani hakutaka agundue chochote kinachoendelea.Aliisoma ile barua kwa mara ya pili, kisha akaichana chana na kuitafuna baada ya kuhakikisha ameielewa vizuri.
Kwanza alienda bank akatoa kiasi kikubwa cha pesa,baada ya hapo akapitia kwenye maduka ya nguo akamnunulia Mariam magauni kadhaa pia akanunua na nguo zake kwani hakuwa na nguo nyingine zaidi ya ile aliyotoka nayo mle ndani.
Alirudi nyumbani akiwa na furaha kwani aliona kazi ile ni ndogo sana kwa sababu akiwa na pesa hakuna msichana atakayeweza kumkataa.
Mariam alifurah kwa zawadi ile ya nguo na mchana huo huo wakaondoka na kufunga geti kabisa kisha wakaingia mtaani kutafuta nyumba ya kupanga pia mizunguko yao haikuwachosha kwani walikuwa na gari.Mpaka majira ya jioni walishafanikiwa kupata nyumba maeneo ya Shanti Town kwa wakazi wa Kilimanjaro nadhan mnafaham sana mtaa huu.
* * *
walianza Maisha huku Roy anasubiri siku ya jumanne ifike ambapo zilikuwa zimebakia siku nne tu,kwa kiasi fulani roho ilikuwa inamuuma kwa jinsi atakavyowaaribu wasichana lakini hakuwa na namna kwani inamlazimu afanye kwa sababu ya kuokoa maisha yake.Siku ya pili kabla hawajalala Mariam alimtaka Roy kimapenzi lakini Roy alikataa akidai hakuwa na hamu kabisa,Mariam alimuomba sana lakini Roy akashikilia msimamo wake akidai hakuwa tayari kwa siku ile na Mariam akakubali kwa shingo upande huku analalamika.
Usiku Roy akiwa usingizini alihisi raha ya ajabu ni kama alikuwa anaota anafanya mapenzi na msichana mtamu,alianza kutoa miguno ya raha usingizini huku anajinyonga nyonga kama mtu anayeumwa na tumbo la kusokota.Taratibu lipofumbua macho hakuamini kwani Mariam alikuwa amemtanua miguu anamnyonya lolipop yake,Alitaka kuongea lakini akashindwa kutokana na Raha alizokuwa anahisi.
"itabidi nifanye nae mapenzi mfululizo kabla ya jumanne kwani nikianza kufanya kazi ya Husna yeye sintafanya nae kabisa"
Aliwaza Roy mda huo Mariam anaendelea na zoezi lile kwa ustadi wa Hali ya juu,Roy alipomaliza kuwaza hayo,alimgeuza Mariam chini yeye Roy akawa juu wakatizamana kwa sekunde kadhaa mda huo mariam anamlegezea macho kimahaba,walianza kupena mabus kwa stahili ya denda huku Roy kidole chake kipo kwenye utamu wa Mariam aliyekuwa amefumba macho huku anamfinya Roy mgongoni.Wakati bado wanaendelea na zoezi lile Roy aliweka mashine yake kwenye utamu wa Mariam akaanza kuingiza ambapo ilikuwa inaingia kwa shida kumaanisha Mariam hakuwa amekutana na mwanume mda mrefu kwani siku mbili zilizopita hawakumaliza baada ya Husna kutokea.Walianza kupena mambo huku kila mmoja anapata raha ya ajabu.
Walifanya sana mapenzi siku hiyo,kwa siku nne mfululizo Roy alijitahidi kumpa Mariam mapenzi ya ukweli,hawakuchagua mahali pa kufanyia kwani nyumba nzima walikuwa wawili tu,iwe jikoni,bafuni.sebuleni,wakati mwingine kwenye gari kila Mariam alipokuwa anahitaji pipi rungu Roy hakum'bania kwani ata Yeye pia alionekana "kudata" sana na utamu wa Mariam.
Jumanne ilifika ambapo alitakiwa kuanza kazi Rasmi,alishinda nyumbani akiwa na mawazo sana,pesa alikuwa nazo lakini alikuwa anawaza ataanzaje kutafuta msichana wa atakaemkubalia wafanye mapenzi siku hiyo hiyo.Mpaka saa nane hakuwa amepata jibu lolote lakini akapata wazo aingie mtaani labda atapata wazo lolote au atakutana na binti yoyote atakaetokea kuvutiwa nae.Aliingia bafuni akaoga,alivaa na kupendeza kisha taratibu akaingia mtaani kuwinda msichana atakaemuanzishia kazi yake kwa siku hiyo

Itaendelea

posted from Bloggeroid

0 comments:

Post a Comment