Ratuba ya ManU UEFA

Author
Wakati Man U wakiwa wakiwa wanatarajiwa kurudi kwenye michuano ya klabu bingwa ulaya, ratiba ya michezo ya awali imetoka hii leo. Man U imeonekana kupewa timu rahisi huku mchezo mkali ukitarajiwa kuwa kati yaValencia dhidi ya Monaco ratiba kamili hii hapa

0 comments:

Post a Comment