KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania
(Taifa Stars), Charles Boniface Mkwasa leo
ametangaza kikosi cha wachezaji 29
watakaongia kambini siku ya Jumapili tarehe
9, Agosti katika hoteli ya Tansoma iliyopoe
eneo la Gerezani kwa ajili ya kambi ya wiki
moja ya mazoezi.
Katika kikosi hicho
alichokitangaza cha wachezaji
29, Mkwasa amewajumuisha
wachezaji watano wanaocheza
soka la kulipwa nje ya nchi
(Proffesional), ambao baadae
watajumuika kwa kambi ya
kujiandaa kucheza na Nigeria
mwezi Septemba 2015 nchini
Uturuki.
Taifa Stars inatarajiwa kuweka kambi ya siku
kumi jijini Istambul – Uturuki, ambapo
itacheza michezo miwili ya kirafiki na timu za
Taifa za Libya na Kuwait kabla ya kurejea
nchini kuwavaa Nigeria.
Wachezaji watakaongia kambini jumapili ni
magolikipa, Ally Mustafa (Yanga SC) na Aishi
Manula (Azam FC), walinzi wa pembeni:
Shomari Kapombe (Azam FC), Michael Aidan
(Ruvu Shooting), Juma Abdul, Mwinyi Haji
(Yanga SC) na Abdi Banda (Simba SC).
Walinzi wa kati; Hassan Isihaka (Simba SC),
Nadir Haroub, Kelvin Yondani (Yanga SC),
Viungo wakabaji: Himid Mao, Frank Domayo,
Mudathir Yahya (Azam FC), Viungo
washambuliaji ni Salum Telela (Yanga SC) na
Said Ndemla (Simba SC).
Washambuliaji wa pembeni; Orgenes Mollel
(Aspire – Senegal), Abdrahman Mbambi
(Mafunzo), Deus Kaseke, Saimon Msuva
(Yanga SC), Ramdhani Singano, Farid Musa
(Azam FC), huku washambuliaji wa kati
wakiwa ni John Bocco, Ame Ally (Azam FC)
na Rashid Mandawa (Mwadui FC).
Wachezaji wa kimataifa waliojumuishwa
katika kikosi hicho ambacho Agosti 23
kitaelekea kambini nchini Uturuki kwa kambi
ya siku kumi ni Mbwana Samata, Thomas
Ulimwengu (TP Mazembe – DR Congo),
Mrisho Ngasa (Free State – Afrika Kusini) na
Hassan Sembi (Santos FC – Afrika Kusini) na
Adi Yussuf (Mansfield Town – Uingereza)

0 comments:
Post a Comment