Tume ya Uchaguzi wa taifa la Tanzania, kukabiliwa na na msisitizo wa
muda mrefu wa wananchi juu ya kuahirishwa kwa tarehe ya kufanyika kura
ya maoni kuhusu katiba inayopendekzwa na tume hiyo kutoa msimamo
kwambatarehe haitobadilika, leo hii tume hiyo imetoa kauli tofauti.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi , Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametangaza
kuwa zoezi hilo la kura ya maoni limeahirishwa, jambo ambalo limezua
hisia tofauti nchini humo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment