Aston Villa imetinga fainali ya kombe la FA
kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2000 baada
ya Fabian Delph kufunga bao la pili na la
ushindi dhidi ya Liverpool katika mechi ya
semi fainali.
Ushindi huo umeiwacha Liverpool bila kitu
msimu huu .
Liverpool ilichukua uongozi kupitia Phillipe
Coutinho ambaye alivamia lango la Aston
Villa kabla ya kucheka na wavu licha ya
kukabwa na wachezaji wa Villa.
Lakini Villa walisawazisha kupitia Christian
Benteke aliyepata pasi kutoka kwa Delph.
Delph baadaye alifunga bao la pili baada ya
kuwapita walinzi wa Liverpool na hivyobasi
kutinga fainali ya kombe hilo na Arsenal
mnamo tarehe 30 ilioicharaza Reading 2-1
siku ya jumamosi.

0 comments:
Post a Comment