Taarifa zinasema mtuhumiwa huyo ambaye alikuwa akifahamika kama “White Widow” ameuawa Ukraine katika mapambano ambapo alikuwa akipambana upande wa kikosi cha wapiganaji wa Aidar.
Samantha amekuwa akituhumiwa kuhusika na matukio kadhaa ya mashambulizi
ikiwemo la Westgate Kenya 2013, japo mengi ya matukio hayo haikuwahi
kuthibitika juu ya ushiriki wake katika matukio hayo.






0 comments:
Post a Comment