matokeo ya darasa la saba yatoka

Author
Baraza la Mitihani Tanzania Necta limetangaza matokeo ya Darasa la saba mwaka 2014 yakionyesha ongezeko la ufaulu wa asilimia 56.99 tofauti na ufaulu wa mwaka jana wa asilimia 51.6
Akitangaza matokeo hayo jijini Dar es salaam katibu mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania Dk.Charles Msonde ametaja jumla ya wanafunzi waliojisajili kufanya mitihani kufikia 792 sawa na asilmia 98.2 na jumla ya watahiniwa 451 wamepata alama 100 au zaidi huku mkoa wa Dar es salaam ukiogoza.

0 comments:

Post a Comment