
KURA YA MAONI APRIL 30
Rais Kikwete atangaza rasmi tarehe ya uchaguzi
wa kura ya maoni kuwa itakuwa ni April 30, muda wa kampeni utakuwa ni
Machi 30 hadi April 29, Tume ya uchaguzi kufanya upya usajili wa wapiga
Kura January hadi Machi 30, asisitiza wanaotoa Elimu juu ya Katiba
wazingatie sheria ya Kura ya Maoni.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment