Semina hiyo iliyo kuwa ina endeshwa na Dk William
mlay kutoka katika hosipital ya celian
iliyopo Arusha ilifanyika katika ukumbi
wa olasiti garden na kuudhuriwa na wafanya kazi takriban wote wa mamlaka ya
maji safi na maji taka jiji la Arusha kwa awamu
tofauti tofauti
2009 .Kulikuwa na wangonjwa wa
ukimwi milioni 33.3 duniani kote
Na asilimia kumi 10% ya watu wana
ishi sahara wakati huo huo 1/3 ya wagonjwa wapo sahara
Mgonjwa wa kwanza kugunduliwa na
HIV nchini Tanzania ilikuwa mwaka 1983
na walikuwa wawili
Hadi mwaka 2007 walikuwa milioni
mbili na kati ya hao wagonjwa laki sita wali hitaji matibabu
AINA ZA HIV ZILIZOPO AFRIKA NI MBILI
1.
[ACD].Ni ya muda mfupi ila haitesi sana
2.
Ya muda mrefu ila ina tesa sana
NJIA ZA MAAMBUKIZI
·
.Kujamiiana bila kutumia kinga
·
kuchangia vitu nyenye ncha kali kama wembe
sindano nk
·
Maambukizi kwa damu isiyo salama
·
Mama kwenda kwa mtoto nk
JINSI VIRUSI WANAVYO SHAMBULIA MWILI
Binadamu ana DNA wakati kirusi kina RNA,Hivyo RNA wakiingia
kwenye DNA hushambulia white cell hasa
kwenye kiini ambapo hushambulia CD4 .
Kadri wanavyo kula ndiyo wanavyozidi kuzaliana kwa wingi .
Japo CD4 zipo zaidi ya milioni kwenye mwili kila
ikishambuliwa hufa na haifanyi tena kazi
Zamani ilikuwa hadi
mgonjwa CD4 zishuke hadi 200 ndipo ulikuwa huanze dawa siku hizi ni kuanzia 350
Mtoto mdogo huanza dawa pale tu anapo gundulika ana HIV na
mama mjamzito pia
VIRUSI hadi vipewe dawa ya aina 3 ukimpa dawa ya aina moja
baada ya muda hujibadilisha na kutosikia kabisa dawa
HAKUNA dawa ya kuuwa virusi bali kuna dawa ya kuifanya isi
zae [tasa] baadae huzeeka na kufa
Lakini ukiacha dawa ana endelea kuzaa
VIRUSI hupenda sana mishipa ya fahamu
Kwa kawaida mtu ana takiwa awe na CD4 700 -2000
MGONJWA kwa muda wa
miaka 2-4 huwa hawa teseki sana ila
baadhi husumbuliwa na tezi,vipele,jasho na maumivu ya viungo
MGONJWA kwa muda wa miaka 5-8 uzito kupungua, kuharisha,
utando mweupe, homa za mara kwa mara na kubadilika kwa ngoi
KUPIMA DNA TSH 300000 na ukijitahidi kwa mwaka una weza
kuongeza CD4 100
FAIDA ZA KUJUA AFYA MAPEMA
1.
Ina
saidia kulinda afya yako
2.
ina
saidia kulinda CD4
3.
Kumlinda
motto
4.
kuwalinda
wengine
5.
kuepuka gharama
NJIA ZA KUZUIA HIV/AIDS
Ø
Kutumia kinga kwa usahihi
Ø
Tohara mtu ambaye ajafanyiwa tohara ni rahisi
kupata vvu wakati wa kujamiiana
Ø
elimu juu ya vvu
.Kinga [PEP] Ipo ya kuzuia maambukizi ukiwahi
masaa yasiyo zidi 72 ila ni lazima ujieleze
vizuri ndipo upewe dawa
NAMNA YA KUONGEZA CD4
Kwa kula vitu fresh
Mboga mboga, Samaki, Kuku
Vitunguu swaumu
Epuka kutumia sukari
asali hutumika kuuwa virusi
Maji ni muhimu
Virusi hufa mara moja waki kaa hewani wanahitaji joto kama
la mwili
WASILIANA NA DK WILIAM
0754 368295
0754 368295






0 comments:
Post a Comment