Ni kwa huzuni na masikitiko yasiweza kuelezeka na kueleweka ama kuaminika kwa mioyo yetu sisi wanadamu. Lakini Mkoa wetu tena umepoteza Katibu wetu wa Umoja wa vijana Wilaya ya Arumeru Dada Lucy Bongole.
Mengine kusema ni ngumu Mungu katimaza kazi yake kuna wanaomfahamu Lucy vizuri kuliko mimi ama hata kuliko watu wa Arusha........ Tumepoteza mtu na kiungo shupavu sana ndani ya chama na Jumuiya. Ulale salama Lucy......... Kuna mengi mno ya kukumbuka kwayo naamini tutakumbushana pale sote tutakapo amshwa tena kutoka katika wafu.
Mungu aendelea kuipa familia yako faraja, aendelee kufariji Vijana wote
wa Arusha na zaidi Wanachama wote wa CCM na wakaazi wote wa Sombetini
Tunaendelea kuwaombea majeruhi wengine nao pia Mungu awarehemu na wapate kupona mapema.
May Your Soul Rest In Eternal Peace Ms. Lucy Bongole
Tunaendelea kuwaombea majeruhi wengine nao pia Mungu awarehemu na wapate kupona mapema.
May Your Soul Rest In Eternal Peace Ms. Lucy Bongole
0 comments:
Post a Comment