SIMBA YAPATA SARE YA 6. AZAM, YANGA ZACHAPWA

Author
Klabu ya Simba ya DSM leo imeshindwa tena kupata ushindi baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar, na kufanya ifikishe jumla ya sare 6, na point 6, ikiwa imefunga magoli 6 na kufungwa 6.
Matokeo mengine ya mechi za leo ni haya.

Kagera Sugar 1-0 Yanga
Ndanda FC 1-0 Azam FC
Coastal Union 1-0 Ruvu Shooting
JKT Ruvu 1-2 Polisi Moro
Stand United 1-1 Prisons

0 comments:

Post a Comment