Mtu
mmoja afariki na watatu kujeruhiwa leo Asubuhi katika ajali iliyotokea
daraja la Wami mkoa wa Pwani,iliyohusisha lori lenye namba za usajili (T
507 DAE) ns basi la Simba Mtoto (T 501 ERZ)
Inasemekana chanzo
cha Ajali hiyo kimetokana kwa kufeli kwa mfumo wa breki za Lori hilo
ambalo limesababisha ajali hiyo kutokea na kusababisha dereva wa lori
'Nassoro Ramadhani' kufariki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment