ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki
dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya
Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.
Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu.
0 comments:
Post a Comment