MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

Author

Baraza la Mitihani nchini(NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%.

-Feza boys, St. Francis na Kaizerege zaendelea kutamba kileleni, shule za Dar zaburuza mkia kwa kutoa zaidi ya nusu, shule kumi za mwisho.

SHARE na marafiki kuwafikisha ujumbe huu muhimu.

Zaidi, soma => http://bit.ly/2kK4RFk

0 comments:

Post a Comment