MARAFIKI CLUB -28

Author
Marafiki Club-28
By Sparner Boy 0765148781
ilipoishia
aliamini siku zote kuwa Roy na Mariam ni mtu na dada yake na mpaka wakati ule ata Roy hakuwa anafaham kwa nini Mariam aliamua kuwaambia watu kuwa wao ni ndugu
endelea..
Roy alikuwa mpole alitamani Mariam asiendelee kuongea maneno yale kwani Naomy anasikia kila kitu.Mariam baada ya kugundua kuwa Roy hakuwa katika hali ya furaha,alimpokonya ile hotpot kisha akaanza kumlisha uku anamwimbia nyimbo nzuri za mapenzi.Roy alishangaa kwani hakuwahi kumuona Mariam katika hali ile na alijikuta anasahau habari za Naomy aliekuwa mle chini ya kitanda.
"baby nimeshiba ngoja nikaoge alafu nakuja"
"hapana usiende nipe kwanza hii apa"
alizungumza maneno hayo Mariam huku amepitisha mkono kwenye bukta ya Roy na tayari amegusa pipi rungu ambapo Roy alijaribu kutoa mkono wa Mariam eneo lile bila mafanikio.Mariam alianza kushika shika pipi rungu ile kiustadi mle ndani ya bukta kitendo kilichofanya Roy anyamaze kwani kuna raha alikuwa anahisi.Taratibu Lips zao zilikutana wakawa wanabadilishana mate wakati huo mkono wa Mariam bado upo ndani ya bukta ya Roy,miguno ya apa na pale ilisikika wakati wawili wale wanajiandaa kuvunja amri ya sita.Waliachanisha lips zao wakaangaliana kwa sekunde kadhaa kisha wakaanza kuvuana nguo zao kimahaba moja baada ya nyingine na ndani ya dakika chache wote walikuwa kama walivyozaliwa.Mariam alipeleka mdomo wake kwenye mnara wa Roy huku anatabasamu akaubusu mara mbili kisha akaweka mdomoni akaanza kuunyonya,aliunyonya kidogo kisha akatema mate chini na haraka haraka akafungua begi lake akatoa kitambaa akawa anajifuta mdomo na ulimi huku anatema mate ptuu! Ptuu!.Wakati Roy anashangaa nini kimetokea Mariam alimnasa kibao cha uso paa!
"mariam leo unanipiga mimi?"
"na nitakupiga tena,kwa nini umenisaliti alafu inaonekana ni sasa ivi yaani ub*o wote unanuka kum* looh mwanaume malaya wewe huridhiki"
"sijakusaliti labda ni jasho ndio maana nilikwambia nikaoge kwanza ukakataa"
"jasho gani unanifanya mimi mjinga hii ni jasho hii"
aliongea hayo Mariam kwa Jazba wakati huo anashika shika tarimbo ya Roy kisha anamnusisha mikono ile.
Roy alikuwa kimya kwani Mariam alikuwa na hasira sana na hakutaka kumpa nafasi ya kujitetea,Roy wakati anamwangalia Mariam kwa kuibia ibia,macho yake yaliganda kwenye paja la Mariam ambapo kulikuwa na alama kama amepigwa na fimbo au mjeledi mda mfupi uliopita,wakati anashangaa alama ile Mariam alijitupa kitandani akalala kwa tumbo huku analalamika sana.Ni hapo Roy alichanganyikiwa alipoangalia mgongo wa Mariam kwani aliona alama nyingi sana za fimbo na zilionesha kuwa ni za mda mfupi uliopita.Aliwasha taa ya mwanga na alipomwangalia Mariam vizuri alichanganyikiwa kwani alikuwa na alama nyingi sana za fimbo.
"Mariam nani amekupiga kiasi hiki"
"haikuhusu endelea na malaya zako"
"inanihusu Mariam michirizi yote hii ya fimbo mtoto wa kike nani kakupiga bila huruma niambie sasa ivi"
Aliongea hayo Roy na alipomgeuza aligundua kuwa ata usoni alikuwa na alama za vidole yaani ilionesha kuwa alipigwa makofi ya uso pia.Roy mapigo yake ya moyo yalimuenda mbio pia hasira zilianza kumpanda,alijitahidi sana kumwomba Mariam amueleze kuwa nani kampiga lakini Mariam hakusema.
Wakati Mariam na Roy wanabishana,kule chini ya kitanda Naomy alikuwa anasikia kila kitu na gafla hasira zikampanda na woga aliokuwa nao ukatoweka.
"Najitokeza tu kama kuniua na waniue"
Mariam alimwangalia Roy akamwambia
"Roy utafahamu tu alienipiga,nimepigwa sana nakuja uniliwaze na wewe unaniumiza moyo,yaani laiti ungejua kuwa..."
Mariam alikatiza Sentensi yake baada ya kuona mikono inatokea mvunguni mwa kitanda ni kama kuna mtu anajaribu kutoka.Alimkumb
atia Roy kwa woga lakini Roy hakuogopa kwani alijua kinachoendelea na alishangaa kwa nini Naomy ameamua kutoka wakati walipanga ajifiche Mariam asimuone...

Itaendelea

posted from Bloggeroid

0 comments:

Post a Comment