Marafiki club~19
By Sparner Boy 0765148681
Sparner Boy
iipoishia..
Kila kitu kilienda vizur na jumatano iliyofuata
mchungaji akasafiri..
Endelea..
Baada ya mchungaji kuondoka vijana wale sita
waligawanywa wawili wawili na katibu wao
hivyo zikatoka timu tatu ambapo walipeana
zamu ya siku mbili mbili kila timu.Roy
alipangwa na dada mmoja wa pale kanisani
anaeitwa Naomy,Ester akapangwa na kaka
mmoja anaeitwa Steve,pamoja hao wawili
wengine ikakamilika team tatu.
Mambo yalienda kama yalivyopangwa,kwa
upande wa Roy aliendelea kuwaaribu wasichana
wa pale kanisani bila wenyewe kujijua kuwa
wanachanganywa,Ndani ya miezi michache
akiwa pale kanisani alishatembea na mabinti
zaidi ya kumi na mbili.Walikuwa wanamkubalia
kirahisi kutokana na pesa alizokuwa anawapa
pamoja na michango mikubwa aliyokuwa
anachangia kanisa hivyo kila binti akawa
anatamani kuolewa nae.Alikuwa kijana mdogo
lakini mwenye pesa na hakuna aliekuwa
anafahamu Roy alipokuwa anatoa pesa zile.
Siku moja mchana akiwa amejipumzisha
nyumbani alipigiwa simu na namba mpya na
bila kusita alipokea na kusema
"hallow"
"Roy mimi Lily kuna kitu nataka kukuambia
naomba tuonane leo pale hotelini"
"kitu gani mimi na wewe si..";
"noo..naomba usimalizie kuongea utazidi
kunichanganya"
"ok saa moja jioni nitakuwa hapo"
Wanasema usikatae wito kataa neno jioni Roy
alikwenda kwenye hotel ile na alipoingia
alimwona Lily akiwa amekaa kinyonge kwenye
meza ya peke yake,alimsogelea na baada ya
salamu akamuuliza..
"una shida gani?"
"Roy kwa nini unanichukia kiasi hiki nilikukosea
nini mimi?"
"mimi sikuchukii we sema shida yako"
"nina mimba yako,Sijui baba akijua itakuwaje?"
"sasa unataka mimi nifanyaje"
"naomba pesa nikatoe nimeambiwa elfu 80
mimi sina apa nilipo nina shilingi.."
"baas nyamaza nimekuelewa"
Roy hakushtuka sana Lily alipomwambia ana
ujauzito wake,Alimkabidhi laki tatu na
kumuuliza..
"zinatosha hizo"
"ndio zinatosha"
Lily aliitika akionesha tabasamu pana
inaonekana kitendo kile cha yeye kubeba
ujauzito kilimuumiza sana.
Roy alirudi nyumbani akiwa na mawazo,kama
imeanza kwa Lily itakuja kwa Rispa na
wasichana wote aliowapitia
watafuata.aliwaonea huruma lakini hakuwa na
cha kuwasidia.
* **
Kwa upande wa mama mchungaji,mambo
yalikuwa mazuri kwani vijana walikuwa
wanamsaidia sana na kumfanya asijihisi
mpweke.
Zikiwa zimebaki wiki kadhaa kabla ya
mchungaji kurudi,mambo ya ajabu yalianza
kutokea kwenye nyumba ya mchungaji,usiku
mawe hutupwa kwenye bati pia vitu vya ajabu
husikika vikitembea juu ya bati.Vijana walianza
kilalamika lakini Roy hakuwa anaamini kwani
zamu yake ilikuwa bado tokea vitendo hivyo
vianze.Siku moja wakiwa wanabishana
aliwaambia..
"zamu yangu mimi na Naomy mbona
hatukusikia kitu kama hicho nyie waoga"
"ata sisi hii kitu haikuwepo mwanzo,imeanza
juzi kwenye zamu yetu jamani tuombeni tupo
kwenye vita"
alijaribu kujitetea Steve ambapo tatizo lile
lilianza kwenye zamu yake na Ester.
Tatizo lile lililetwa mbele ya kanisa ambapo
wahumini wote walishikana mikono na kuanza
kuomba wakikemea kila kilicho kibaya cha
mwovu shetani na baada ya maombi wakapiga
makofi wakiamini tatizo limekwisha.
Jioni ya siku hiyo ilikuwa zamu ya Roy na
Naomy,kidogo Naomy alikuwa na mashaka
kuhusu nyumba ile ya mchungaji lakini Roy
akamtia moyo kwa kumwambia
"usiogope Naomy wale ni waoga tu na hamna
chochote"
"kweli mimi naogopa sana yani natamani
nisiende leo"
"haitakuwa vizuri we twende mimi nitakupitia
na gari sawa?"
Roy alimtoa Naomy hofu kuwa asiogope.Alirud
i
nyumbani akamkuta Mariam amegunga taulo
kumaanisha ametoka kuoga kwani hakwenda
kanisani.walisalimiana Mariam akaelekea
chumbani kuvaa nguo na Roy akaanza
kujiandaa kwa ajili ya kwenda kuoga.Alivua
nguo pale pale sebuleni na alipobaki na
boxer,Mariam alitoka mle chumbani na ile ile
taulo aliyoingia nayo,alisimama na
kumuangalia Roy kwa sekunde kadhaa kisha
akamfuata na kumsukumia sofani.Wakati Roy
anajiuliza nini kimetokea Mariam alimfuata
akamkalia pale sofani kisha akafungua ile taulo
na kumsogezea Roy chuchu karibu na mdomo
hapo Mariam akiwa na maana alitaka Roy
azinyonye.Roy huku anasita sita alinza
kunyonya matiti malaini ya Mariam hasa sehem
za kwenye ki-nukta wakati huo Mariam akiwa
anashusha boxer ya Roy,alipofikisha magotini
alishika gobole la Roy na kujiwekea kisha
akaanza kuukalia taratibu wakati huo Roy
anaendelea kucheza chuchu za binti yule
alianza kuhisi raha ya ajabu pale Mariam
alipokuwa anaenda chini na kurudi juu
taratibu.Kama kawaida Roy alipokaribia kufika
mwisho wa safari yake alimsukuma mariam
ambapo alianguka kwenye sakafu akitanguliza
makalio na kwa kuwa alikuwa uchi makalio ya
Mariam yalipopiga chini ilisikika mlio kama
mtu aliepigwa kofi kwenye upara na Mariam
akiwa pale sakafuni alishughudia gobole la Roy
likirusha risasi nyeupe kwa kasi ya ajabu
zingine zikamrukia kifuani.Alitukana matusi
yote anayoyajua lakini Roy hakujali aliingia
bafuni akajiandaa kisha akachukua gari na
kuondoka.Bado hakuwa na uzoefu sana hivyo
huwa hapiti bara bara kubwa,alimpitia Naomy
na safari ya kwenda kwa mchungaji ikaanza.
Itaendelea

posted from Bloggeroid
0 comments:
Post a Comment