MARAFIKI CLUB -17

Author
Marafiki Club 17
By Sparner Boy 0765148781
ilipoishia..
yule ni jini na alikuwa anamuogopa sana pia
hakupenda kwenda kanisani lakini alifanya vile
kumridhisha Mariam
Endelea..
Wakiwa ndani ya gari wanaelekea kanisani Roy
alikuwa anawaza mambo mengi sana
aliyoyapitia katika maisha yake pia kilichokuwa
kinamtatiza sana kwa wakati ule ni ile barua ya
pili ambayo Husna alimwambia asiisome
mpaka atakapomaliza kazi na mpaka wakati ule
alishatembea na wasichana wawili tu kati ya
hamsini.
"Roy unawaza nini?"
"wala siwazi chochote nipo okey"
aliitikia Roy huku anajitahidi kuchangamka
baada ya Mariam kumgundua kuwa alikuwa na
mawazo sana.
Walifika kanisani na kukaa wakati huo kwaya
ilikuwa inatumbuiza.Roy wakati anaangalia
kwaya ile,macho yake yaliganda kwa binti
mmoja mwenye umbo la kimisi na rangi ya
chokolate ambae alikuwa kiongozi wa kwaya
ile.Alitokea kumvutia sana lakini aliwaza kuwa
hataweza kuwa nae kwa wakati ule kwani alijua
kitakachompata na hakutaka kumwaribu binti
yule alieonekana anampenda sana Mungu.akiwa
pale meseji ya Rispa iliingia,,
"mpenzi jana uliniacha na hamu natamani leo
unipe tena"
"nikupe nini?"
"acha masihara mimi leo nataka nipo tayari ata
mpaka asubuhi"
"mkataba wangu na wewe umeisha jana
naomba niache"
Roy alimjibu Rispa maneno hayo kwani
hakuona umuhimu wake tena baada ya
kumgonga,Husna alimwambia akifanya mapenzi
na mwanamke lazima abebe mimba haijalishi
yupo kwenye siku za kupata mimba au
anatumia uzazi wa mpango ishu ni kwamba
wazungu wa Roy wakigusa utamuni lazima
mimba itokee.
Baada ya ibada Roy alienda kwenye gari
ambapo akiwa ndani ya gari,alimuona Marim
na yule binti muimba kwaya wakiongea huku
wanafurahi,alishangaa kidogo kwani hakutarajia
kuwa wana ukaribu.Waliongea na
kukumbatiana yule binti akarudi kanisani
Mariam akalifuata gari na kupanda kisha safari
ya kwenda nyumbani ikaanza.
Walifika nyumbani lakini Roy picha ya binti
yule bado haikumtoka kichwani
* * *
Usiku wakiwa kitandani tayari kuutafuta
usingizi,Roy alikuwa anasali kimoyo moyo
Mariam asimtake kimapenzi lakini sala zake
ziligonga mwamba kwani mda mfupi baada ya
wawili hao kuwa kimya kitandani wakati huo
Mariam amempa Roy mgongo alianza uchokozi
kwa kukata kata mauno usawa wa Tarimbo ya
Roy,gauni fupi nyepesi aliyokuwa amevaa
Mariam ilimpa wakati mgumu Roy na wakati
anaendelea na zoezi lile,mara alishika mkono
wa Roy na kuupeleka kwenye buyu lake la
asali,hapo Roy alipagawa zaidi kwani aligusa
utamu wenyewe yaani Mariam hakuwa amevaa
kufuli.Alipigwa na butwaa ndani ya sekunde
kadhaa taratibu alianza kupapasa utamu
ule,Mariam alinogewa akageuza uso wakawa
wananyonyana mate huku anatoa ile miguno
yake inayomaanisha utamu ulianza kukolea,Roy
alimgeuza wakatazamana kwa sekunde
kadhaa,wakaendelea kupeana mabusu kwa staili
ya denda huku Mariam anavua bukta ya Roy na
baada ya kuivua na kuitupa pembeni alipanda
juu akashika mnara wa Roy na kuulengesha
kwenye tundu lake.
Walianza kupeana mambo wakati huo Roy
mawazo ya kumpa Mariam mimba yakiwa
hayapo kabisa akilini mwake kutokana na Raha
alizokuwa anapata.
Mariam akiwa Dereva aliendelea kuendesha
jahazi lile ambapo haikuputa muda Roy alihisi
anakaribia kufika mwisho wa safari yake,ni
kama alishtuka kutoka usingizini kwani
alimwambia Mariam
"sogeaa"
"baby raha nipee,asante mp.."aliendelea
kulalamika Mariam kimahaba bila kujua Roy
alichomaanisha na Mariam kabla hajamalizia
sentensi yake Roy alimsukumia pembeni na
mda huo huo wazungu wa Roy wakaruka juu ya
silingbord kwa kasi ya ajabu kama
bomba.Baada ya wazungu kuisha,Roy
alimuuliza Mariam
"vipi imekumwagikia"
"wapi?"
"uko chini Mariam niambie imekumwagikia"
Roy aliongea kama mtu aliechanganyikiwa huku
anamsogelea Mariam kwa lengo la kumuangalia
kama kuna urojo uliomwagika kwenye mzinga
wa asali.Mariam alimnasa kibao na kumwambia
"mjinga wewe nahisi umekuwa chizi"
"nisamehe Mariam"
"nikusamehe nini kwani kuna ubaya gani
ikinimwagikia alafu wewe,wewe,,endelea"
Aliongea hayo Mariam huku anavuta shuka
tayari kuutafuta usingizi.
Mpaka siku ya ijumaa Roy hakuwa amekutana
na msichana yoyote kitendo kilichompa
wasiwasi mkubwa.Kesho yake jumamosi baada
ya kufikiria sana aliingia kwenye mitandao ya
kijamii kwani ni siku nyingi hakuwa ameingia
lakini lengo lake kwa siku hiyo alikuwa
anatafuta msichana yoyote wa kumgonga kwa
garama yoyote.Akiwa anaendelea kuperuzi
Mariam Aliondoka na kumuaga kuwa
anakwenda saloon kisha kanisani hivyo
atachelewa kurudi.
Wakati Roy anaendelea kuchati na warembo
mbali mbali,alishangaa kuona meseji ya Joan..
"helow Roy"
"Joan za siku nyingi nimemis sex fone zako
sasa nataka live,nipo mkoani kwenu muda
saaana mpenzi i miss youu"
"nimekumis pia Roy,Najua unateseka sana
lakini usiogope nipo na wewe na utashinda"
"nateseka kivipi sikuelewi Joan "
Joan hakujibu meseji ile na mda ule ule
akatoka kwenye line.Roy alishindwa kuelewa
Joan alimaanisha nini kutamka maneno
yale.Akiwa anatafakari hayo geti liligongwa na
alipokwenda kufungua hakuamini baada ya
kumwona yule binti muimba kwaya.
Waliangaliana kwa sekunde kadhaa,yule dada akampa mkono huku anamwambia
"bwana asifiwe"
"A...amen karibu"
Dada Mariam yupo?"
"Ndio karibu"
Alimjibu na kumpisha binti yule akaingia ndani ya geti huku mkononi ameshika biblia na daftari wakati huo Roy anamfuata kwa nyuma...
Itaendelea

posted from Bloggeroid

0 comments:

Post a Comment