Wema aanguka kura ya maoni

Author
Mrembo binti wa mzee Abraham Sepetu aliyekuwa anagombea Viti Maalum jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu katika uchuguzi huo.
Mgawanyo Wa kura uko hivi
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3.Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)
Wema alikiwa anagombe uwakilishi kupitia viti maalum CCM

0 comments:

Post a Comment