MWANAMITINDO maarufu Jokate Mwegelo amemtaka mwanamuzi maarufu Naseeb Abdul, ‘Diamond ‘ kutomgombanisha na Ali Kiba.
Pia amemtaka mwanamuziki huyo kuacha hulka kudhalilisha wanawake aliowahi kuwa na uhusiano nao nao.
Jokate alitoa kauli hiyo jana kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram baada ya Diamond kuweka video ya wimbo wake inayomwonesha (Jokate) akicheza wimbo wa Mdogomdogo na kuandika ‘Mtanyooka tu’.
Alisema alichofanya Diamond anachokifanya si uzalendo na kuonesha wazi wazi chuki zake.
Jokate alisema kuwa hakuna ubaya yeye kushangilia ushindi wa msanii huyo kwani ni sifa ya taifa kwa ujumla.
” Sijui kwanini ameweka video hiyo au kwasababu nipo karibu na Alikiba anataka kutogombanisha lakini kila mtu anahaki ya kumpenda ampendaye.
“Pengine ni kweli anaendeleza hukla zake za kudharirisha wanawake aliokuwa nao, ili waonekane si kitu kwasababu sasa hivi hawana mahusiano naye,”ameandika Jokati.
Hivyo amemtaka Diamond kubadilika kwani anachokifanya sio watanzania wanategemea kupata kwake, akiwa msanii ambaye anawakilisha vema muziki kimataifa.
Mbali na hayo alimempongeza kwa ushindi wake .

0 comments:
Post a Comment