Sababu haijajulikana ni nini ila tutakujuza ikishaeleweka
02 Breaking News: WATU 19 WAMEFARIKI KWA AJALI, MBEYA.
Watu 19 wamefariki dunia leo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi dogo walilokuwa wakisafiria kutumbukia mtoni huko Tukuyu,Mbeya.
Chanzo bado hakijafahamika ila tutakujuza zaidi tupatapo habari zaidi
Mungu azilaze roho za marehemu mahali peponi.
03Breaking News. Kumekuwa na mashambulizi zaidi usiku dhidi ya biashara zinazomilikiwa na raia wa kigeni nchini Afrika Kusini.
Polisi walitumia gesi ya kutoa machozi na risasi za mipira kutawanya umati kusini mwa mji wa Johannesburg ambapo gari na nyumba vilichomwa moto.
Msemaji wa polisi aliiambia BBC kuwa karibu raia mia mbili wa kigeni walikimbilia usalama kwenye kituo cha polisi lakini wakaondoka muda baadaye.
Usalama umedumishwa kufuatia mashambulizi yaliyowalenga raia wa kigeni ambapo watu watano wameuawa.
Rais Jacob Zua amelaani ghasia hizo na maandamano ya amani mjini Durban siku ya Alhamisi yalihudhuriwa na zaidi ya watu elfu kumi.
0 comments:
Post a Comment