MFAHAMU LEYKIZ JEMBE JIPYA LA DX NA NOIZ MAKER

Author
JINA :               LEONS KENGWA A.K.A LEY KIZ

MAHALI:          ARUSHA

KAZI:              MUSICIAN/BIZZNESMAN

KUZALIWA:   04/08/1989  SONGEA



Leons ali anza maisha yake ya muziki akiwa shule ya msingi japo hakuipa uzito sana hadi alipo jiunga na shule ya sekondari ya oljoro mwaka 2004 ambapo walijiunga  wakiwa watatu
Leons Kengwa  [ley kiz]
emanuel daniel [immam daz]
johnson kitalula [black rhino]

Na kutengeneza kundi lililo jipatia umaarufu mkubwa shuleni lililo julikana kama TERO SQUARD
Japo makundi mengi yalijaribu kuleta upinzani kama vile TSUNAMI CAMP ilikuwa chini ya DIZZO BOY na FAVII bado TERO SQUARD ili ibuka mshidi hadi mwalimu wa michezo kuipa nafasi ya kutumbuiza kwenye maafali ya kidato cha nne ya mwaka 2006


Mara tu baada ya kumaliza kidato cha nne nyota ya LEIKIZ iliendelea kung'ara kwani aliendelea kupata nafasi ya kuonyesha kipaji chake katika kumbi  mbali mbali  kila mara kukiwepo tamasha ACTIVE CLUB au TRIPLE A bhasi mara nyingi kabla msanii mkubwa kupanda LEYKIZ amekuwa akipanda yeye kwanza


Leo hii ni muda umepita ila LEY KIZ bado yupo na  bado ana fanya  muziki  ana nyimbo takribani  10
Zilizo achiwa ni mbili

KICHWA KINAUMA   ft  YOUNG  CASH
BOUNCE LIKE THIS    ft  ODINARI
 
Hits zote zimefanywa kwa mkali DX studio ni NOIZ MAKERS 

 BOUNCE LIKE THIS aliyo mshirikisha ORDINARI wa JAMBO SQUARD ikiwa ndiyo habari ya mjini kwa sasa ikipigwa na radio station karibu zote za hapa ARUSHA na kufanya interview na RADIO kadhaa  leo nakuomba uitafute uisikilize kisha utoe maoni yako

kusikiliza nyimbo zote za LEY KIZ ingia hapa

 www.mkito.com
 
0784002688 , 0759428656 ,  UTUMIWE WHATTSAPP

SPECIAL   TENX  KWA CLASS 2007 OLJORO SEC

MAONI /USHAURI

LEONS KENGWA AKA LEY KIZ

  0759428656

                                                                                                  




0 comments:

Post a Comment