Matokeo Europa League.
Timu ya Sevilla imeshinda mchezo wake wa kwanza wa robo fainali ya Europa League kwa kuifunga timu ya Zenit 2 - 1 .
Huku Club Brugge ikitoka sare ya bila kufungana na Dnipro huko Ureno.
Nayo Dynamo kiev imelazimishwa sare ya goli 1 - 1 na wageni Fiorentina.
Kwingineko timu ya Napoli ya nchini Italy imeifulumisha timu ya Wolfsburg ya Ujerumani kwa magoli 4 -1.
Matokeo ya mechi
Club Brugge 0 - 0 Dnipro
Dynamo. Kiev 1 - 1 Fiorentina
Sevilla 2 - 1 Zenit Petersburg
Wolfsburg 1 - 4 Napoli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment