Kiungo wa Arsenal Mesut Ozil amepata upinzani mkali kwa kitendo chake cha kubadilishana jezi namchezaji wa Monaco Geoffrey Kondogbia wa kati timu hizo zilipokuwa zinaenda vyumbani baada ya kipindi cha kwanza wa mchezo.
Paul Scholes amekuwa wa kwanza kumwakia mchezaji huyo amesema "sipendelei, labda mwisho wa mchezo hata hivyo mimsi muumini wa kufanya hivyo"
Scholes aliendelea kwa kusema "inatakiwa kufanya hivyo wakati mkiwa kwenye kordokuelekea vyumbani mbali na watu wengi, ila sipendelei wakati wa mapumziko"
kitendo hicho cha Ozil kinafanana na cha Van Persi na Santos.
0 comments:
Post a Comment