MATUKIO KWENYE MECHI YA CHELSEA VS PSG

Author
kwenye mechi ya jana helsea waliweza kuongoza mchezo huo mara mbili huku wa kiwaruhusu wapinzi wao kuweza kusawazisha. Huku goli la kichwa la nahodha T. Silva likiwapa nafasi mabigwa hao wa Ufaransa nafasi yakuendelea na michuano hiyo. Mshambuliaji namba moja wa PSG Ibrahimovic akipewa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu mbaya Oscar kipindi cha kwanza, baada ya mchezo huo Ibrahimovic aliwaita wachezaji wa helsea watoto.
John Terry manhandles Gary Cahill whilst Thiago Silva scores the winning goal for PSG

wachezaji wa Chelsea wakionekana kukabana wenyewe na kumruhusu T. Silvakufunga bao kutokana na mpira wa kona.


0 comments:

Post a Comment