Welcome Back Home Weusi
Weusi kupiga show A town kwa ajili ya kufunga mwaka. show hiyo itapigwa ndani ya Triple A night club kwanzia mida ya saa tatu Usiku. wakali hao watasindikizwa na wasanii wngine wakali Ben Paul na Vanessa Mdee bila kusahau kundi lingine la Jambo Squade watakuepo kuifanikisha show hiyo ni kwa kiingilio cha 10000.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment