matokeo ya mechi za kirafiki

Author


Uwanja wa Old Trafford huko Jijini Manchester ulijaa Washabiki kuwashuhudia Wachezaji Bora Duniani, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi, wakiongoza Nchi zao kupambana kwenye Mechi ya Kimataifa ya Kirafiki lakini ni Bao la Dakika ya 90 la Kichwa cha Raphael Guerreiro ndio liliwapa Portugal ushindi wa 1-0. Ronaldo na Messi walipumzishwa wakati wa Haftaimu na Mechi hii ikakosa mashamsham baada ya hapo.
VIKOSI:
Portugal: Rui Patricio; Cedric, B.Alves, Pepe, Guerreiro; Moutinho, Carvalho, Tiago; Nani, Danny, Ronaldo
Akiba: Silva, A. Gomes, Lopes, Beto, Eder, Postiga, Mario, Cedric, Fonte, R. Carvalho, Quaresma, T. Gomes, Vieirinha.
Argentina: Romero; Roncaglia, Otamendi, Demichelis, Ansaldi; Mascherano, Biglia, Pastore; Messi, Higuain, Di Maria
Akiba: Caballero, Tevez, Banega, Lamela, Perez, Fazio, Silva, Gaitan, Guzman, Zabaleta, Pereyra, Aguero, Vergini.
REFA: Martin Atkinson [England]
KIMATAIFA KIRAFIKI
Jumanne Novemba 17
MATOKEO:
Japan 2 Australia 1
Slovakia 2 Finland 1
Belarus 3 Mexico 2
Greece 0 Serbia 2
Slovenia 0 Colombia 1
Austria 1 Brazil 2
Romania 2 Denmark 0
Hungary 1 Russia 2
Italy 1 Albania 0
Poland 2 Switzerland 2
Portugal 1 Argentina 0
Republic of Ireland 4 USA 1
Spain 0 Germany 1
France 1 Sweden 0
Scotland 1 England 3




0 comments:

Post a Comment