WATU 45 WAUWAWA

Author
Kiasi cha watu 45 wameuawa kwenye eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria kutokana na mashambulizi ya Boko Haram, huku polisi kwenye mji mkuu Abuja ikitumia gesi ya machozi kuwazuia wabunge kuhudhuria kikao muhimu kilichokuwa kiamue ombi la Rais Goodluck Jonathan kuongeza muda wa hali ya hatari kwenye eneo hilo la kaskazini mashariki.


0 comments:

Post a Comment