Hoja za Wabunge hao zilionekana kulitikisa Bunge jana kiasi cha wabunge kutotaka kusikiliza kauli ya serikali kupitia Waziri mkuu, Mizengo Pinda kwani alipotoa ufafanuzi walisikika wakitoa matamushi ya kutokukubaliana naye
KASHFA YA UCHOTWAJI BILIONI 360 IPTL YAMBABUA PINDA
10:25:00
No comments
Waziri Mizengo Pinda jana alijikuta katika
wakati mgumu baada ya kubanwa na wabunge ambao waliweka pembeni tofauti
zao za vyama vya siasa na kuungana kupinga vikali njama zinazodaiwa
kufanywa na mahakama ya Tanzania za kuingilia uhuru wa Bunge kulizuia
kujadili ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya IPTL ya uchotwaji wa shilingi
bilioni 360 katika akaunti ya Tegeta Escrow iliyopo benki kuu ya
Tanzania (BOT)
Hoja za Wabunge hao zilionekana kulitikisa Bunge jana kiasi cha wabunge kutotaka kusikiliza kauli ya serikali kupitia Waziri mkuu, Mizengo Pinda kwani alipotoa ufafanuzi walisikika wakitoa matamushi ya kutokukubaliana naye
Hoja za Wabunge hao zilionekana kulitikisa Bunge jana kiasi cha wabunge kutotaka kusikiliza kauli ya serikali kupitia Waziri mkuu, Mizengo Pinda kwani alipotoa ufafanuzi walisikika wakitoa matamushi ya kutokukubaliana naye
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment