Kipa mkongwe
wa Real Madrid,Iker Cassilas amesrma leo anataka kubadilishana jezi na
mshambuliaji wa
Liverpool lakinni si
wakati wa Mapumziko.Casillas amesema alipanga kufanya hivyo kwenye
mchezo wao wa kwanza Ligi ya Mabingwa Uaya uwanja wa Anflied.Lakini
baada ya kuingiza matatizo baada ya Baloteli kubadilishana jezi na Pepe
Ikashindikana.Cassilas amesema atafanya hivyo leo kwenye mechi dhidi ya
Liverpool Ligi ya Mabingwa Ulaya.
0 comments:
Post a Comment