huyu ndiye messi

Author
MESSI
MESSI AMKUMBUSHA KOCHA ENRIQUE, NANI BOSI!

Ilipofika dakika ya 76 meneja wa Barcelona Enrique alimuita kwa sauti Lionel Messi na kumtolea ishara kwamba anatakiwa kutolewa nje baada ya mchezaji huyo kufunga bao la tatu kwa Barcelona.

Lakini Messi alionekana kupuuza na kuonesha hataki kutolewa nje kumpisha kinda Munir El Haddadi, badala yake kocha Enrique ikambidi kumtoa Neymar.

Sababu kubwa ya Messi kugomea kutoka ni kwamba amebakiza goli moja tu kua mchezaji wa La Liga aliyefunga bao nyingi zaidi 351. Ingawa alibakia kiwanjani hakuweza kulipata bao hilo. 

Unadhani ilikua sahihi kwa mshambuliaji huyo kubakia uwanjani kulisaka bao hilo, ama angemtii kocha na kutoka. Je mchezaji mwingine angefanya hivyo unadhani ingekuwaje?
MESSI AMKUMBUSHA KOCHA ENRIQUE, NANI BOSI!
Ilipofika dakika ya 76 meneja wa Barcelona Enrique alimuita kwa sauti Lionel Messi na kumutolea ishara kwamba anatakiwa kutolewa nje baada ya mchezaji huyo kufunga bao la tatu
kwa Barcelona.
Lakini Messi alionekana kupuuza na kuonesha hataki kutolewa nje kumpisha kinda Munir El Haddadi, badala yake kocha Enrique ikambidi kumtoa Neymar.
Sababu kubwa ya Messi kugomea kutoka ni kwamba amebakiza goli moja tu kua mchezaji wa La Liga aliyefunga bao nyingi zaidi 351. Ingawa alibakia kiwanjani hakuweza kulipata bao hilo.
Unadhani ilikua sahihi kwa mshambuliaji huyo kubakia uwanjani kulisaka bao hilo, ama angemtii kocha na kutoka. Je mchezaji mwingine angefanya hivyo unadhani ingekuwaje?

0 comments:

Post a Comment