Author
BREAKING NEWS: Mwanariadha maarufu wa nchini Afrika Kusini, Oscar Pistorius amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya
kukutwa na hatia ya kumuua aliyekuwa mpenzi wake Reeva Steenkamp bila kukusudia.

0 comments:

Post a Comment