Ajali Mbaya Arusha

Author



Ajali mbaya imetokea leo majira ya saa kumi na moja jioni huko maeneo ya Tengeru  Arumeru jijini Arusha, iliyohusisha gari la abiria aina ya Hice na Lori  la mafuta. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni hice iliyokuwa ikijaribu kuovatake eneo lisilo salama. Katika ajali hiyo watu Kumi na watano wamepoteza maisha hususan waliokuwa katika Hice majeruhi wamaripotiwa kuwa ni wawili

.

1 comments: