NIFANYE NA MIMI KAKA DICK -08

Author


 CHOMBEZO:NIFANYE NA MIMI KAKA DICK-08

Mtunzi:Juma Hiza

0712988278


Ilikuwa ni siku ya jumatano tulivu majira ya jioni, hali ya hewa ilikuwa ni ya kiubaridi. Angani wingu zito lilionekana kutanda kuashiria wakati wowote mvua ingeweza kunyesha. Nilikuwa chumbani kwangu wakati huo nilikuwa nikiendelea kuandika moja ya machombezo yangu. Wakati nikiendelea kuwa bize na Laptop yangu mara simu yangu ikawa inaita, nilipoitazama alikuwa ni Precious, haraka nikaipokea.

“Hallo Dick uko wapi?” alinipokea kwa swali mara baada ya kupokea simu.

“Kwani wewe uko wapi?” nilimuuliza.

“Mimi nipo hapa nje kwako.”

“Ingia tu mimi nipo ndani.”

“Vipi kuna usalama?”

“Usalama kivipi?”

“Nimekuja na gari.”

“Ndiyo usalama upo.”

“Ok.” (Sawa.)

Nilikata simu kisha nikaendelea kuwa bize na kazi yangu, haikuchukua dakika nyingi mara nikaanza kusikia mtu akiwa anaugonga mlango wa chumba changu, nilifahamu fika kuwa aliyekuwa akiugonga mlango kwa wakati ule alikuwa ni Precious hivyo niliamua kumkaribisha.

Alipoingia macho yangu hayakuacha kumtazama, alikuwa amevalia sketi fupi yenye rangi nyeusi iliyoyaacha vyema mapaja yake yaliyonona, juu alikuwa amevaa t-shirt yenye vifungo maarufu kama form six, ilikuwa imembana sana. Kwa kifupi nguo alizokuwa amezivaa zilikuwa zikimchoresha sehemu mbalimbali ya maumbile yake.

“Karibu,” nilimkaribisha.

“Asante,” alijibu huku akionekana kuwa na aibu.

“Mh!” niliguna huku nikiendelea kumtazama sehemu za maumbile yake, alikuwa ameumbwa akaumbika kisawasawa.

“Nini?” aliniuliza huku akijitazama, kwa hisia za haraka alihisi wenda alikuwa na kasoro yoyote hivyo alizidi kujitazama kwa umakini lakini haikuwa katika hisia hizo alizokuwa akihisi, nilikuwa tofauti kabisa.

“Umependeza,” nilimsifia huku nikiutoa ulimi wangu nje na kuanza kujilamalamba.

“Asante,” alijibu huku akitabasamu kiaibu.

“Pita ukae,” nilimwambia kisha akaongoza moja kwa moja mpaka kwenye kochi. Alipokaa alianza kunitazama kwa kujiibaiba, wakati huo nilikuwa bize na laptop yangu.

Baada ya dakka kadhaa nilimaliza kazi yangu na sasa macho yangu yalikuwa yametua kwa Precious. Alikuwa akitabasamu tu! muda wote.

“Vipi?” nilimuuliza.

“Safi,” alinijibu kisha midomo yake ikawa kama inachezacheza, nilifahamu kuna kitu alichokuwa anataka kuniambia, niliamua kumuuliza.

“Unataka kuniambia nini?”

“Amna.”

“Amna nini?”

“Hakuna kitu mbona?”

“Usinidanganye kuna kitu unanificha.”

“Unajua nini?”

“Enhe!”

“Siamini kama umeweza kuiokoa ndoa yangu, nilijua ule ndiyo ulikuwa mwisho wangu.”

“Mwisho wa nini?”

“Ndoa yangu.”

“Hahaha! Sasa unaogopa nini?”

“Nisiogope tena?”

“Ndiyo kwani sisi si tupo, akikuacha sisi tunaweka ndani au umesahau mpaka maneno ya wahenga.”

“Maneno yapi?”

“Sijui wanasema ukikiona cha nini wenzako sijui wanakifanyaje?”

“Hahahaha.”

“Unanicheka tena.”

“Amna bhana ila muda unakimbia kweli.”

“Kwahiyo.”

“Nipe hiyo pochi niwahi nyumbani.”

“Jamani.”

“Nini?”

“Huoni mvua?”

“Nipo na gari.”

“Hata kama lakini subiri ikate kwanza.”

“Halafunikichelewa kurudi nyumbani nitamweleza nini mume wangu.”

“Unamwambia ulitekwa tena?”

“Hahahaha! Halafu unafanya masihara.”

Sikutaka kuendelea kuleta midahalo isiyokuwa na faida yoyote, nilichoamua kukifanya ni kumsogelea pale kwenye kochi ali[okuwa amekaa, mvua nje kwa wakati huo ilikuwa imeanza kunyesha. Nilipomfikia nikajaribu kuketinaye huku nikijaribu kumpapasa, hakuwa na purukushani yoyote, alikuwa ametulia kimya kama mtu aliyekuwa akinyolewa.

“Niache bhana,” aliniambia huku akijaribu kuutoa mkono wangu uliyokuwa ukimpapasa sehemu za mwili wake.

“Niache nini?” nilimuuliza huku nikimtazama kwa madoido, alionekana kutabasamu.

“Niache bhana Dick mimi sitaki,” aliniambia kwa sauti laini huku akiutoa mkono wangu, nikama vile alikuwa staki na taka kwasababu kila alivyokuwa akiutoa mkono wangu na nilipojaribu kuurudisha hakuweza kuleta ubishi wowote, nilifahamu fika kuwa alikuwa akiutamani mchezo kwa udi na uvumba lakini hakutaka kuweka bayana hamu yake.

“Unajisikiaje?” nilimuuliza huku nikimtazama, alikuwa ameanza kuyalegeza macho yake.

“Staki bhana niache mimi,” aliniambia lakini wakati huu sauti yake ilianza kubadilika, alianza kutokwa na miguno ya ajabu, bila shaka nilikuwa nimeanza kuyaamsha mashetani yake ambayo muda wowote yangeweza kupanda na mimi ndiye daktari tosha ambaye nilitakiwa kuyatibu kwa wakati ule.


Je, nini kitaendelea?

Tukutane Kesho mahali hapa hapa.


#Share kwa wingi.

0 comments:

Post a Comment