MARAFIKI CLUB -22

Author
Marafiki Club 22
By Sparner Boy 0765148781
ilipoishia
Mama mchungaji alishtuka akamgeukia Roy na
kumuuliza kuwa Husna ni nani..
Endelea
Alimjibu kuwa Husna ni dada aliye kuwa
anamuota kwenye ndoto na mama mchungaji
alimsikiliza kwa makini na kumuuliza
"sasa kwa nini ulikuwa unanitaja mimi,Roy
umenisababishia matatizo"
"alikuwa ananiuliza nimelala na nani nikawa
najibu "mama mchungaji",pia akaniuliza kama
nataka penzi lake nikawa namjibu kuwa
"nataka" mimi sikuwa nakuambia wewe"
alijitetea Roy baada ya mama mchungaji
kuanza kumlaumu.Kwa kuwa ilishatokea na
hakuna aliekuwa anafahamu zaidi ya wao
wawili,Walikubaliana ibaki Siri yao tu na
asifaham mtu mwingine yoyote.
Roy alirudi nyumbani ambapo alimkuta Mariam
akiwa mezani anakunywa chai lakini
alipomsalimia mariam hakuitika.Roy
alimwangalia na kumwuliza
"tatizo nini nakusalimia huitikii"
"kawasalimie wanawake zako wanakufanya
usiwe na hamu na mimi"
alijibu Mariam na kuondoka pale mezani
akaacha chai aliyokuwa anakunywa.Roy
alifahamu anachotaka Mariam lakini hakuwa
tayari kwami alitambua kitakachomtokea.
Siku Roy alipofanya mapenzi na mama
mchungaji ndio ikawa mwisho wa usumbufu
ule juu ya bati sasa wakawa wanalala kwa raha
mustarehe.Jumapili iliyofuata mama mchungaji
alisimama akasema..
"nashukuru maombi tuliyoomba yamejibiwa
kwani nyumba yangu sasa inalindwa na Mungu
hakuna wachawi tenaa"
"aaameen"
waumini wote waliitikia na kupiga makofi
wakimsifu Mungu lakini Roy aliwaza kuwa
huenda zile zote zilikuwa njama za Husna ili
yeye amgonge mama mchungaji.
"Husna anaona mbali pia ana akili
sana,amesababisha nikatembea na mama
mchungaji ivi ivi"
aliwaza hayo Roy wakati anapiga makofi pamoja na
waumini wengine.
Baada ya ibada kila mtu alikuwa na furaha
kwani tatizo lililokuwa linaisumbua nyumba ya
mchungaji wao lilikuwa limewachanganya sana.
Roy alimfuata Naomy na kumuuliza sababu
iliyomfanya akaingia mitini wakati alitakiwa
kumalizia zamu yake ya kulala kwa
mchungaji,Naomy alimwangalia Roy na
kumwambia
"niliogopa wachawi,siku hiyo niliona gari lako
nikajificha nikawaambia wakudanganye kuwa
sipo"
"mtu uliyeokoka unasema uongo hapo dhambi
tayari"
"mmh,kwani wewe huna dhambi,tulivyozini
siku ile sio dhambi ile?"
"ni dhambi na tuombe Mungu atusamehe"
"lakini Roy una ujasiri,nilitaka kukataa lakini
nikaogopa mama mchungaji
angejua ndio nikakupa tu ili utulie,sasa uli enjoy?"
"nilienjoy sana"
"utanioa au mimi sio mtamu"
"haha"
Roy alicheka baada ya Naomy kumwambia
maneno hayo.
Wakati wanaendelea kuongea pale simu ya Roy
iliita na alipoangalia na kuona Rispa ndie
aliyekuwa anapiga,alisogea pembeni na
kupokea
"hallow"
"Roy Nisaidie siku ile ulinipa mimba,leo
asubuh nimemeza kidonge cha kuitoa sasa ivi
nipo hostel nimezidiwa nakufa"
Rispa aliongea na kukata simu ambapo Roy
alichanganyikiwa kwani kati ya vitu ambavyo
hakutaka vitokee ni msichana aliyetembea nae kupoteza maisha
kwani alijiona yeye ndio atakuwa
amesababisha.Bila kuongea chochote alipanda
kwenye gari na kuliondoa kwa kasi ya ajabu
kitendo kilichofanya kila mtu pale kanisani
kushangaa.Siku hiyo hakuogopa alipita
barabara kubwa ingawa hakuwa na leseni na
baada ya muda mfupi alikuwa nje ya geti la
hostel za wanafunzi wa KCMC
university.Alimpigia Rispa na kumwambia yupo
getini ambapo Rispa alimwambia amsubiri
ajitahidi kutoka kwani hakutaka mwanafunzi
yoyote afahamu siri yake.
Baada ya dakika kumi Rispa alitoka akiwa
ameshika tumbo lake huku akionekana kuna
maumivu alikuwa anahisi kwa jinsi alinyokuwa
amekunja sura kwa kujikaza wanafunzi wenzake
wasigundue.Alifika kwenye gari akapanda kisha
Roy akaondoa gari tayari kumuwahisha hosptal.
Wakiwa njiani Roy aliona michirizi ya damu
kwenye miguu ya Rispa aliekuwa anaugumia
maumivu na alipomuuliza anavyojiskia Rispa
alimwambia Damu inavuja sana hapo alipo
amebadilisha pedi zaidi ya mara tano.
Wakipofika hosptali Roy alionga pesa nyingi
kwa madaktari ili wajaribu kuokoa maisha ya
dada yule pia wafiche siri kwani polisi walijua ni kosa tayari.
Kazi ilienda vizuri na ndani ya masaa manne
saa hali ya Rispa ilirejea na ile mimba kutolewa
salama.
Roy alimfuata Rispa kitandani baada ya
kuruhusiwa na daktari na kumwambia
"kwa nini hukuniambia"
"niliogopa pia ulikuwa mkali sana,asante Roy
kwa kuokoa maisha yangu"
alijibu Rispa huku machozi yakimtoka.
Kwa kuwa giza lilishaingia alimrudisha Rispa
hostel na kumpa kiasi cha pesa akimwambia
kuwa chochote kitakachoendelea juu ya afya
yake asisite kumwambia.
* * *
Siku zilienda na zamu ya vijana kwenda kulala
kwa mchungaji zikawa zinaendelea,ilipobaki
siku moja kabla zamu ya Roy kufika kwanzia
misuko suko ile imalizike,Mariam aliamka usiku
akamwangalia Roy aliekuwa usingizini na
alipowaza kuwa siku inayofuta atalala peke
yake wakati huo Roy atakuwa kwa mchungaji, alitikisa kichwa akionesha kutoridhika na
hali ile.Aliendea begi lake na kutoa sindano zile
za kushonea nguo na kwenda nayo mpaka
kitandani,alivua nguo zake kisha akamgeuza
Roy na kutoa mnara wake uliokuwa umelala
kisha akaweka mdomoni kwake na kuanza
kuunyonya ambapo baada ya muda mfupi Roy aliamka kutoka usingizini na
kutokana na Raha alizokuwa anahisi alianza
kumpa sapoti Mariam.Baada ya mbwembwe za
hapa na pale vuta nikuvute Roy alilala chini akamtaka Mariam aikalie mashine yake waanze kupeana mambo lakini Mariam badala ya kufanya hivyo alivyonya mnara wa Roy kidogo kisha akalala kwa mgongo akimwambia Roy..
"Baby leo wewe kaa juu"
"Sawa mpenzi usi..hofu"
Roy aliinuka wakaanza kupeana mambo kwa ile staili ile ya kifo cha mende.Wakati wanaendelea kupata Raha Mariam alishika ile sindano yake vizuri wakati huo Roy hajui chochote alichokuwa amedhamiria Mariam juu yake....

Itaendelea

posted from Bloggeroid

0 comments:

Post a Comment