#TANZIA: Mch. C. Mtikila amefariki

Author

Mwenyekiti wa chama cha DP Christopher Mtikila amefariki dunia alfajiri ya leo wakati akitokea Morogoro kuelekea Dar es salaam.
Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa Mtikila alipata ajali hiyo katika eneo la Msola, Kibaha akiwa kwenye gari ndogo huku wenzake watatu wakijeruhiwa.
Mtikila alitangaza kugombea Urais kupitia chama chake cha DP lakini chama chake ni moja ya vyama ambavyo vilikatwa kutokana na akutotimiza masharti.

0 comments:

Post a Comment