UPDATE: MATOKEO KURA ZA MAONI CCM

Author
Yafuatayo ni matokeo rasmi ya kura za maoni kwa upande wa CCM kwenye majimbo kama yanavyofanyika.Tutaendelea kuwaletea matokeo kila siku kadiri tutakavyokuwa tunayapata

Kigamboni Ndugulile kashinda kwa 80%

Nape kashinda kwa kishindo

SEGEREA
Mbunge:BONA KALOA
Diwani: SOUD MOHAMED SOUD
(Mbunge ni mwanamke)

Ulanga Mashariki, Mbunge Celina kombani

Ilala ameshinda Zungu

Ukonga mshindi ni Ramesh Patel

Bumbuli
1.January - 13,366~87%
2. Kaniki - 1,781~12%.
3. Mshihiri - 171~1%
4. Shekwevi - 46~0%
Total results 15,364.

Nzenga Mjini Bashe kashinda kwa asilimia 99%...

Sengerema: William Ngeleja

Nyamagana: Mabula

Butiama: Mkono

Morogoro mjini: Abood 

0 comments:

Post a Comment